Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Hawana Mpangilio Kabisa,haiwezekani unafumua barabara Tegeta Kibaoni haurekebishi unaendaa Tegeta kwa Ndevu haurekebishi, unaenda kufumua Mbezi Africana hurekebishi,unaenda kufumua Mbezi Shule huerekebishi na unageuka upande wa pili kufumua kwanini usingemaliza kiraka kimoja unaenda kingine.?
Pia barabara hiyo haijakuwa mbayaa sanaa kuliko barabara nyingine za vumbi.!
huwa najiulizaga kwamba ndio principle inataka hivyo au ni nini maana ni upumbavu kukwangua na kuacha shimo kwa zaidi ya wiki……inakera!