Sioni tija ya ukarabati unaoendelea Barabara ya Bagamoyo (Mbezi - Tegeta)

Na lile tuta kama mlima pale lugalo... aisee siku atakufa waziri pale nishangilie. Highway unawekwa mlima kama ule??
Hakuna kitu kinachojikera kama matuta kwenye hizi barabara zetu hasa freeways ni utopolo wa hali ya juu,T1 imejaa matuta hadi porini why?tuwekeni speed camera 📷 na tujenge road tolls,hizi zitakusanya Maputo na kudhibiti mwendo, uchafu wote pale Mikumi National Park ondoa, pls my minister, wewe umetembea na umeona wenzetu wanafanya nini,hapo Botswana kutoka Nata hadi Kasane ni mbuga ya wild animals (wakiishi pamoja na binadam)ni zaidi ya 300kms na hakuna hata tuta moja.
 
Sio lazima fungu likitengwa litumike!! Ni fedha kama hizi ndizo serikali inatakiwa kuzifanyia reallocation na kuzipeleka kwenye emergency fund ya kudhiniti mfumuko wa bei! Ukifanya hivyo nchi nzima utapata fedha za kutosha!
Umeongea point sana mkuu
 
Eneo la kati litakuwa na kazi gani?
 
Hawana Mpangilio Kabisa,haiwezekani unafumua barabara Tegeta Kibaoni haurekebishi unaendaa Tegeta kwa Ndevu haurekebishi, unaenda kufumua Mbezi Africana hurekebishi,unaenda kufumua Mbezi Shule huerekebishi na unageuka upande wa pili kufumua kwanini usingemaliza kiraka kimoja unaenda kingine.?
Pia barabara hiyo haijakuwa mbayaa sanaa kuliko barabara nyingine za vumbi.!
 
Eneo la kati litakuwa na kazi gani?
Mkuu unahisi linatusha kwa magari mawili kupishana yani kwenda na kurudi na kuweka vituo? By the way lazima barabara za kati mji ziwe na kaeneo kama hako kakuweka miti. Na sidhani kama waliiacha kwa ajili ya kazi hiyo ya kuja kutumika kwa mwendo kasi. Planers wetu wanaangalia changamoto inayokuwepo, hawawazi miaka 30, 50 mbele. Hii ni kawaida kwa afrika lakini mkuu ndio maana China wana plan ya Afrika kwa miaka 30, sisi hatuna plan yetu wenyewe.
 
Wakifumua kipande kimoja wanawezaambiwa ishieni hapo hapo hivyo wanafumua kote kwanza."kwa vile mmeshaanza basi malizieni"
 
Hakika
 
Wakimaliza mwakani unafumua tena kuanza ujenzi wa mwendokasi
 
Wakifumua kipande kimoja wanawezaambiwa ishieni hapo hapo hivyo wanafumua kote kwanza."kwa vile mmeshaanza basi malizieni"
Umeongea jambo la msingi huenda ikawa ni kweli
 
Nchi hii hainaga mkakati endelevu
Sisi tupo tupo tu

Ova
 
Na lile tuta kama mlima pale lugalo... aisee siku atakufa waziri pale nishangilie. Highway unawekwa mlima kama ule??
Aysee nmepita juzi sikujua kama kuna ule mlima,nilijua ni kama yale matuta kadhaa yakufukia tu ambayo hayana madhara,doh almanusura niibwage chuma
 
lete picha
 
Ni mbinu ya upigaji tuu.. sio poa
 
Aysee nmepita juzi sikujua kama kuna ule mlima,nilijua ni kama yale matuta kadhaa yakufukia tu ambayo hayana madhara,doh almanusura niibwage chuma
Kwa kweli pale ukiwa speed unaibwaga kabisa chuma mtaroni kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…