Sioni tija ya ukarabati unaoendelea Barabara ya Bagamoyo (Mbezi - Tegeta)

huwa najiulizaga kwamba ndio principle inataka hivyo au ni nini maana ni upumbavu kukwangua na kuacha shimo kwa zaidi ya wiki……inakera!
 
Wenye tairi vipara lazima kelele ziwe nying.. juz tu hapo nilihis gari inahama

Enewei.. naunga mkono hoja..mbona barabara ilikua fresh tu.. ni fursa ya upigaj ile
 
naona msukumo mkubwa ni kwenye upigaji, zile sehemu wala hazikuharibika kiasi zihitaji matengenezo.
 
Kitu ambacho huwa sielewi ni kulazimisha kujenga service road, kwa nini iyo service road isingeongezwa kwenye two way ikawa three way go and return.
 
Ujenzi Dar wajitasmin.nina wasi wasi team sukuma gang waliopo ujenzi wapo kazini kuhakikisha ikifika 2025 watu wawazomee akina kinana.
Please Kinana simamia serikali mtazomewa mbaya.Haiwezekani haiwezekani mnakaa kama hamna machale ya hili chezo.
Karume mpaka magomeni kumefumuliwa.uhasibu daraja halisogei foleni mpaka bandarini au daraja la nyerere.leo tena barabara isiyo na ulazima wa zinafumuliwa kipande kirefu sana,halafu baada ya muda pana haribika na kungoja tena.Mabomba ya maji yanakatika maji yanavuja watu hatupati maji,barabara ya mitaani hazifagiliwi lami zinamezwa na michanga.
Mashimo ya barabarani hayafukiwi ili mtukere tu.
Ikifika 2025 wapinzani wenu watakuwa wanahoji tu mnawataka wananchi watajibu hatuwatakiiiiiii.
 
Tabu kwelikweli
 
Kitu ambacho huwa sielewi ni kulazimisha kujenga service road, kwa nini iyo service road isingeongezwa kwenye two way ikawa three way go and return.
Naunga mkono hoja, service road ni upuuzi mtupu na kuongeza foleni maana wanaojifanya wana haraka ndiyo wanakwenda kujichomeka na kusababisha foleni.
 
Naunga mkono hoja, service road ni upuuzi mtupu na kuongeza foleni maana wanaojifanya wana haraka ndiyo wanakwenda kujichomeka na kusababisha foleni.
Service road ni wings road! Hizi ni barabarani zinazolisha barabara kuu!

Huwezi kutoka au kuingia barabara kuu pasipo kuhitaji access road (service road)
Pia hutumika kwa dharula endapo kuna shida barabara kuu!
Gharama zake ni ndogo ukiringanisha kama zingejengwa barabara kuu
 
Mbona barabara ya mbezi kimara haiko na service road na imejengeka vizuri na mtu unaweza ingia njia kuu.
 
Alafu sasa inayotolewa na inayowekwa ya mwanzo iko vzr zaid kuliko ht hii
 
Hii miradi 'INALIPA'
 
Hizo 'wings roads' zinahitajika Dar tu mbona miji mengine mikubwa hakuna?
 
Mbona barabara ya mbezi kimara haiko na service road na imejengeka vizuri na mtu unaweza ingia njia kuu.
Nashangaa na haya majibu ya mwaka 47! Service roads ni mambo yaliyopitwa na wakati.

Access roads kuwezesha kuingia barabara kuu ni kitu kingine kabisa kwa maoni yangu.
 
Nashangaa na haya majibu ya mwaka 47! Service roads ni mambo yaliyopitwa na wakati.

Access roads kuwezesha kuingia barabara kuu ni kitu kingine kabisa kwa maoni yangu.

Maana ile service road inaweza kua njia ya 3 ukiweka kila upande.. 2 way inakua three way ambayo ni highway ya kisasa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…