Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Umuhimu mnao uona hapo ufipa ni wa biashara ya mwenyekiti wenu tu ( Madawa)
nyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAI
 
Itakuwa hujawahi kutumia barabara za mitaa hiyo hadi kufika kama kuanzia Msasani.. maeneo kuelekea hukoooo

Endelea kutumbua macho.. ila umejaa upupwu sanaaa.. lia tu
 
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.

Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.

Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.

Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.

Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.

Wadosi wanafaidi kwa Jasho la wavujajasho.Kwa hakika daraja hili lingesubiri. Daraja la Fire -Muhimbili-Hananasif lingisaidia kupunguza foleni ya Salande Bridge.
 
Mkuu hili daraja la magomeni_fire_mhimbili ni daraja muhimu sana kuliko hata flyover za ubungo..
Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.
 
nyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAI
Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipa
 
Naomba ufafanuzi hilo daraja kama liananzia coco beach linaishia wapi kama ni Aghakhan pale halina msaada sana otherwise weekend watu kwebda kupiga picha wapenzi wao.
Mimi Nadhani " wamefuata zaidi interesting zao bado wanaushamba WA kuwa na madaraja yanayopita baharini" hata kama madaraja " hayo hayatokuwa na utatuzi wa kero ya usafiri " kwa wananchi " KILICHOPO HAPO NI KWAMBA JIWE ANATAKA KUUKAMILISHA HUO MRADI" ILI KUFUTA " JUHUDI ALIYOIFANYA MZEE WA MSOGA DHIDI YA DARAJA LA MBWENI "" .. wananchi wakose chakukumbuka dhidi yake " tofauti iliyopo nikwamba mwenzie " aliupeleka ule mradi sehemu stahiki ""
 
Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipa
Jadili hoja,wewe ni great thinker ,hatujadili watu hapa,Hoja ni kwamba Salenda briji haina manufaa yeyote,wewe unaleta habari za mbowe ndio nini? Hata kama unalipwa kwa comments fikirisha ubongo ili hao wanakulipa waone unastahili sio kutema mipumba tu.
 
Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.[/QUOTE
Waulize wanyonge wanaowachagua ccm labda wanajua faida.Kuishi katikati ya wajinga wengi ukiwa mwerevu peke yako utakufa kabla ya wakati
 
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).

Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.

USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.

Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.

Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.

Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.

Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Mawazo mazuri haya lkn kumbuka alishasema "hashauriki"
 
Wewe hujui barabara za huku Mikocheni,Mbezi beach,Msasani,Masaki. Kwa taarifa yako jinsi foleni inavyokuwa kali watu wa mikocheni au mbezi walikuwa wanaingilia maandazi road(siku hizi kuna barabara ingine ya DMDP unaingilia Tanesco Mikocheni unatokea Msasani) wanapita CCBRT wanatokea O'bay kuja kukatisha Kenyatta Drive ili kukwepa foleni ya Ali Hassan Mwinyi road. Kwa maana hii watatumia njia hio hio ila hawatarudi Kenyatta tena wataunganisha darajani. Hili daraja sio kwa watu wa Masaki tu acheni negativity.

Maneno haya haya yalisemwa wakati daraja la Kigamboni linajengwa na hadi leo watu wasiolitumia bado wanaongea ujinga kuwa daraja halina msaada wowote. Waulize wakazi wa Kigamboni wanaotumia hilo daraja wawaambie umuhimu wake.
 
Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.
Kwahio hawa wengine wa Masaki,O'bay,Msasani,Mikocheni sio waTz?
 
Daraja ni muhimu kwa waendao kwa magari,kwa upande wa mashariki ya Dar.Ni mtu mjinga asieweza kuona umuhimu wa daraja hilo kama njia mbadala kuelekea masaki,Kawe,mbezi na kwingineko.
 
Watanzania tunaunafiki wa hali ya juu. Aliyewaambia iwapo daraja halitajengwa basi huduma ya maji itaboreshwa nani? Miaka yote daraja halikuwepo huduma za maji mbona hazijaboreshwa? watu wanazodoa daraja la Tazara lkn watu hao hao wakienda Kenya macho kodo kuangalia flyovers na huku wakisema wakenya wanatuzidi. Hivi tutawafakia lini wakenya kwa unafiki huu?
 
Back
Top Bottom