nyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAIUmuhimu mnao uona hapo ufipa ni wa biashara ya mwenyekiti wenu tu ( Madawa)
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
heheee " hapo hawezi kuwa na hoja huyo popomaVipi yule mwenyekiti aliyetuibia 1.5trn na hutaki lisemwe?
Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.Mkuu hili daraja la magomeni_fire_mhimbili ni daraja muhimu sana kuliko hata flyover za ubungo..
Halafu DAR zenji hazizidi km 40 tukianzia Dar_Fish_marketTunataka ijengwe daraja kutoka dar mpk zenji sasa
Ova
Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipanyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAI
Mimi Nadhani " wamefuata zaidi interesting zao bado wanaushamba WA kuwa na madaraja yanayopita baharini" hata kama madaraja " hayo hayatokuwa na utatuzi wa kero ya usafiri " kwa wananchi " KILICHOPO HAPO NI KWAMBA JIWE ANATAKA KUUKAMILISHA HUO MRADI" ILI KUFUTA " JUHUDI ALIYOIFANYA MZEE WA MSOGA DHIDI YA DARAJA LA MBWENI "" .. wananchi wakose chakukumbuka dhidi yake " tofauti iliyopo nikwamba mwenzie " aliupeleka ule mradi sehemu stahiki ""Naomba ufafanuzi hilo daraja kama liananzia coco beach linaishia wapi kama ni Aghakhan pale halina msaada sana otherwise weekend watu kwebda kupiga picha wapenzi wao.
hahaaaa " kweli umerogwa ", na wale mateja wa k.koo wamejazwa na. wana lumumba au -''?Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipa
Jadili hoja,wewe ni great thinker ,hatujadili watu hapa,Hoja ni kwamba Salenda briji haina manufaa yeyote,wewe unaleta habari za mbowe ndio nini? Hata kama unalipwa kwa comments fikirisha ubongo ili hao wanakulipa waone unastahili sio kutema mipumba tu.Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipa
WaKorea hawajengi bure. Mwisho waTanzania watalipa na riba nzito.Hachelewi kuropoka kwamba linajengwa na Fedha za Watanzania kumbe linajengwa na Wakorea.
Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.[/QUOTE
Waulize wanyonge wanaowachagua ccm labda wanajua faida.Kuishi katikati ya wajinga wengi ukiwa mwerevu peke yako utakufa kabla ya wakati
Mawazo mazuri haya lkn kumbuka alishasema "hashauriki"Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Itapendeza sanaHalafu DAR zenji hazizidi km 40 tukianzia Dar_Fish_market
Jadili hoja usitake kuvuruga mada hapa!Ushahidi ni kujaa kwa mateja ufipa
Wewe hujui barabara za huku Mikocheni,Mbezi beach,Msasani,Masaki. Kwa taarifa yako jinsi foleni inavyokuwa kali watu wa mikocheni au mbezi walikuwa wanaingilia maandazi road(siku hizi kuna barabara ingine ya DMDP unaingilia Tanesco Mikocheni unatokea Msasani) wanapita CCBRT wanatokea O'bay kuja kukatisha Kenyatta Drive ili kukwepa foleni ya Ali Hassan Mwinyi road. Kwa maana hii watatumia njia hio hio ila hawatarudi Kenyatta tena wataunganisha darajani. Hili daraja sio kwa watu wa Masaki tu acheni negativity.Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).
Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.
USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.
Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.
Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.
Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Kwahio hawa wengine wa Masaki,O'bay,Msasani,Mikocheni sio waTz?Yaani sijui hawa viongozi wetu wanafikiriaga nini,yaani wanafanya mambo ambayo hayamsaidii kabisa mtz kisha wanajisifu,Magomeni_Fire_Muhimbili wakiweka daraja litasaidia sana wakazi wa sinza/tandale/magomeni etc.
Hahahahah Kana Massage centres kibao! Kila kona ni Massage hahahahaaBasi kale ka uchochoro kana kismat. Kwa sasa kanasaidia sana lucha ya kutokuwepo daraja la coco beach.