Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Licha ya Makocha na Wachezaji wa Pande Pande mbili kueleza juu y maandalizi ya Mchezo wao wa leo kwangu binafsi sioni Ushindi wa Klabu us Simba kutokana na aina ya kikosi na maandalizi ya Mchezo wa leo.
Hii hapa kauli ya Mchezaji wa Simba kuelekea Mchezo huo.
"...Sisi wachezaji tumejiandaa kucheza na timu yoyote kwenye ligi ingawa tukishinda hii mechi itatuweka kwenye mazingira mazuri zaidi.
Kwangu mimi nikipata nafasi ya kucheza jukumu la kwanza itakuwa kuhakikisha timu inapata ushindi...sio lazima nifunge mimi"
🎙Edwin Balua
Mchezaji wa Simba Sc