SIONI USHINDI WA SIMBA LEO

SIONI USHINDI WA SIMBA LEO

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
FB_IMG_1729322016141.jpg


Licha ya Makocha na Wachezaji wa Pande Pande mbili kueleza juu y maandalizi ya Mchezo wao wa leo kwangu binafsi sioni Ushindi wa Klabu us Simba kutokana na aina ya kikosi na maandalizi ya Mchezo wa leo.

Hii hapa kauli ya Mchezaji wa Simba kuelekea Mchezo huo.
FB_IMG_1729322016141.jpg

"...Sisi wachezaji tumejiandaa kucheza na timu yoyote kwenye ligi ingawa tukishinda hii mechi itatuweka kwenye mazingira mazuri zaidi.

Kwangu mimi nikipata nafasi ya kucheza jukumu la kwanza itakuwa kuhakikisha timu inapata ushindi...sio lazima nifunge mimi"

🎙Edwin Balua
Mchezaji wa Simba Sc
 
Mechi hii ni ya kisasi, Simba itapambana sana ila quality ya Yanga itaongea, naona Simba watalala na viatu leo kwa mara nyingine. Yanga haitendi haki kupiga wenzao kila derby.
 
Back
Top Bottom