Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Yani ukiingia huko Instar watu wanafanya mambo ya ajabu na hakuna anayewafuatilia,sasa ukisikiliza hizi story za sijui Basata unaona miyayusho kweli.
 
Yani ukiingia huko Instar watu wanafanya mambo ya ajabu na hakuna anayewafuatilia,sasa ukisikiliza hizi story za sijui Basata unaona miyayusho kweli.
Wewe insta uliahawahi kuangalia live na wazee wako?,tv ilikua live na watu wa marika yote walikua wanaangalia,hivyo kitu angeionyesha insta live hakuna mtu angehangaika naye
 
Wewe insta uliahawahi kuangalia live na wazee wako?,tv ilikua live na watu wa marika yote walikua wanaangalia,hivyo kitu angeionyesha insta live hakuna mtu angehangaika naye
Nafikiri point ni maadili,sasa huku instar yanayoendelea yanaangaliwa na rika zote wakati wote hata hiyo video ya hiyo show ya Gigy ipo.
 
Yani ukiingia huko Instar watu wanafanya mambo ya ajabu na hakuna anayewafuatilia,sasa ukisikiliza hizi story za sijui Basata unaona miyayusho kweli.

Unataka BASATA wadhibiti hadi Instagram?
 
Duuu so wasafi ndo kwisha tenaa miezi 6 wamekubalii[emoji849][emoji849]
 
Mkuu mambo sio mepesi kama unavyojaribu kujustify hapa.

Kama ni kweli Wasafi Media wameonewa, kwa nini wasifungue jalada kupinga uamuzi?

Ukiona hawafile, jua wanahatia.

The rest ni soga tu.

Kufungua jalada!!

Hivi unajua gharama ya kuvimbiana na wakubwa? Ufungue kesi dhidi ya boss wako, upo tayari kwa yajayo?

Busara ni kujishusha na kuomba radhi, au namna nyingine nzuri kuwasiliana ila sio kukimbilia kesi... mwenye nguvu mpishe.
 
Yaani wewe kamtu kamoja tu unajiona ndio unajua kuliko hivyo vyombo vya serikali vyenye watu wenye ujuzi anuai.Ingekuwa wewe ndio muvi sana basi kusingekuwa hata na haja ya kuunda basata
 
Back
Top Bottom