Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
elimu elimu elimu!Amekudhalilishaje wakati ni mwili wake?
Kwamba sumbawangaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elimu elimu elimu!
Anayekutwa akifirwa kwanini anashtakiwa wakatyi mwili ni wake?
Anayekjaribu kujinyonga anashtakiwa kwanini wakati roho na mwili ni vyake?
Huko kwenu Sumbawanga mnahitaji elimu sana asee
Yaani wewe kamtu kamoja tu unajiona ndio unajua kuliko hivyo vyombo vya serikali vyenye watu wenye ujuzi anuai.Ingekuwa wewe ndio muvi sana basi kusingekuwa hata na haja ya kuunda basata
Wakati huyu anapiga miayo wewe utakua unafanya nini?,wewe ni Kusaga au NasinlbAdhabu itaisha, na wakirudi watapiga hela huku wewe ukipiga miayo tu!
Ndo hampendani hivyo girls [emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo adhabu iliyotolewa na TCRA ni ndogo mnooh.
Ilibidi 2 years Ban kwa WCB, na Giggy kuozea jela msieeeew.
So what expert?Ndo hampendani hivyo girls [emoji3][emoji3][emoji3]
Sijui hapo ulimaanisha Nini msomi wetu,najua simatifoni hiyo imeteleza kwenye kidole,sijaelewa kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]So what expert?
Wanawake wenyewe ni kama akina Gigi [emoji23] [emoji23]Jamii inayotukuza wanaume na kuwadhibiti wanawake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazinzi ni lazima wamtetee mzinzi mwenzao
Typing error lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui hapo ulimaanisha Nini msomi wetu,najua simatifoni hiyo imeteleza kwenye kidole,sijaelewa kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]