rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
We mamaj mbona hutuliiLakini mbaya zaidi ina shabiki kubwa jinga Kama wewe sijui walikutoa wapi?
Pamba Football ClubWewe ni shabiki wa timu gani mkuu ??.
Sasa kama hawezi wewe inakukera nini?Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie Wachambuzi wa Michezo katika Redio za Tanzania huwa mnavuta au mnavutishwa Kwanza Bange au?
Wewe Mchambuzi Wilson Oruma ambaye huko Azam Media wamekutema na kila uendako kutokana na Unafiki wako huwa hudumu na sasa unapiga tu 'Deiwaka' mara Clouds FM na sasa EFM siyo Wewe ambaye mwaka jana ulisema kuwa Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje ghafla umebadili ulichokisema? au unadhani akina GENTAMYCINE ni wasahaulifu n hatutunzi Kumbukumbu zenu mkiwa mnaongea?
Halafu Wewe Wilson Oruma ni kwanini kila ukipewa nafasi ya Kuchambua ni lazima tu utainanga na utaonyesha Chuki zako za wazi wazi kwa Simba SC? Hivi huwa hujishtukii au kuhisi pia kuwa wenye Akili na wenye uwezo wa Kuuchambua Mpira kuliko Wewe tayari tumeshakudharau Kitambo tu?
Wilson Oruma (Mchambuzi Mnafiki na wa hovyo hovyo) Tanzania hivi umeshajiuliza ni kwanini wana Simba SC wengi ( nami GENTAMYCINE nikiwemo) tunampenda sana Mchambuzi Msomi, Mweledi, mwana Yanga SC 'lia lia', halafu anaujua Mpira wenyewe na Kaucheza kwa Kiwango cha Kimataifa Ally Mayai Tembele? Tafadhali mtafute ili ujifunze vingi Kwake kwani hana Uyanga bali husimamia Uhalisia, Uwazi na Ukweli kila achambuapo Studioni na Redioni.
Wakati ukihangaika Kumsifia na Kumpamba Kiungo Salum Aboubakary 'Sure Boy' kuwa ndiyo Kiungo bora nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa huyu Mchezaji wako hajafikia hata tu 15% ya uwezo na Kipaji alichokuwa nacho Haruna Niyonzima, Thabani Kamusoko na Marehemu Godfrey Bonny.
Halafu ulivyo Mnafiki Mchambuzi wa hovyo hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza umesema kuwa Kiungo Salum Aboubakary'Sure Boy' anaweza Kucheza Timu yoyote ile nchini (tena anaanza) una uhakika? Wewe Jamaa nilikuwa nakuheshimu ila kwa Upuuzi huu ulionao sasa natangaza rasmi Kukupuuza na Kukudharau.
Yanga SC kama kuna nafasi ya Ajira hapo Klabuni Kwenu hata tu ya Kuwafulia Boksa zao akina Bangala, Aucho na Ntibazonkiza hebu mpeni (muajirini) huyu Mchambuzi Wilson Oruma kwani 'anajipendekeza' Kwenu mpaka anaboa na Kutupandisha Hasira tu tukiwa tunamsikiliza.
Popoma huyoWilson Oruma anasema ni Bora TZ nzima.
Nashangaa sana mtu anaposema kuwa kanoute aliweza kuwapoteza Bangala na Aucho. Ni wazi anaongea kimahaba na sio kitimu. Hao ni viungo wa yanga waliokuwa na kazi ya kiulinzi na pia kushambulia. Embu tuwekeeni namba ni clear chance zipi simba imetengeneza vs clear chance walizotengeneza yanga. Kutopatikana goli hakumanishi ni kuzidiwa kwa viungo bal inawezekana ni tatizo la kukosa umakini kwa wamaliziaji.Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?
Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?
Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
[emoji23][emoji23]Pamba Football Club
Zoa kinyesi Chako cha njano na kijani ulichoharisha humu jamvini Nzi wa kijani wewe.Sasa utamlinganisha sureboy na Kanoute[emoji16]
We endelea tu kumwelimisha mwendawazimu nawe utageuka kuwa mwendawazimu. Huo ni ushauri nimekupaAngekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?
Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?
Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
Atatuliaje wakati Kapumbu Yuko nyuma yake?We mamaj mbona hutulii
Sijaona hoja kanoute hamfikii ata Mjtenjejr wa coastZoa kinyesi Chako cha njano na kijani ulichoharisha humu jamvini Nzi wa kijani wewe.
Leo nimekuunga mkono.Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie Wachambuzi wa Michezo katika Redio za Tanzania huwa mnavuta au mnavutishwa Kwanza Bange au?
Wewe Mchambuzi Wilson Oruma ambaye huko Azam Media wamekutema na kila uendako kutokana na Unafiki wako huwa hudumu na sasa unapiga tu 'Deiwaka' mara Clouds FM na sasa EFM siyo Wewe ambaye mwaka jana ulisema kuwa Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje ghafla umebadili ulichokisema? au unadhani akina GENTAMYCINE ni wasahaulifu n hatutunzi Kumbukumbu zenu mkiwa mnaongea?
Halafu Wewe Wilson Oruma ni kwanini kila ukipewa nafasi ya Kuchambua ni lazima tu utainanga na utaonyesha Chuki zako za wazi wazi kwa Simba SC? Hivi huwa hujishtukii au kuhisi pia kuwa wenye Akili na wenye uwezo wa Kuuchambua Mpira kuliko Wewe tayari tumeshakudharau Kitambo tu?
Wilson Oruma (Mchambuzi Mnafiki na wa hovyo hovyo) Tanzania hivi umeshajiuliza ni kwanini wana Simba SC wengi ( nami GENTAMYCINE nikiwemo) tunampenda sana Mchambuzi Msomi, Mweledi, mwana Yanga SC 'lia lia', halafu anaujua Mpira wenyewe na Kaucheza kwa Kiwango cha Kimataifa Ally Mayai Tembele? Tafadhali mtafute ili ujifunze vingi Kwake kwani hana Uyanga bali husimamia Uhalisia, Uwazi na Ukweli kila achambuapo Studioni na Redioni.
Wakati ukihangaika Kumsifia na Kumpamba Kiungo Salum Aboubakary 'Sure Boy' kuwa ndiyo Kiungo bora nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa huyu Mchezaji wako hajafikia hata tu 15% ya uwezo na Kipaji alichokuwa nacho Haruna Niyonzima, Thabani Kamusoko na Marehemu Godfrey Bonny.
Halafu ulivyo Mnafiki Mchambuzi wa hovyo hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza umesema kuwa Kiungo Salum Aboubakary'Sure Boy' anaweza Kucheza Timu yoyote ile nchini (tena anaanza) una uhakika? Wewe Jamaa nilikuwa nakuheshimu ila kwa Upuuzi huu ulionao sasa natangaza rasmi Kukupuuza na Kukudharau.
Yanga SC kama kuna nafasi ya Ajira hapo Klabuni Kwenu hata tu ya Kuwafulia Boksa zao akina Bangala, Aucho na Ntibazonkiza hebu mpeni (muajirini) huyu Mchambuzi Wilson Oruma kwani 'anajipendekeza' Kwenu mpaka anaboa na Kutupandisha Hasira tu tukiwa tunamsikiliza.
Kwani wewe kinakuuma nini,kama garasa si Yanga ndo wamelamba.Baada ya Kujificha hatimaye sasa Umeshaingia 'Mtegoni' na Kujiweka ( Kujipambanua ) wazi kuwa Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na siyo mwana Simba SC Mwenzetu.
Nilikushtukia tokea katika ule Uzi wangu wa Kuuomba Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC isiachane ( isimteme ) Mshambuliaji na Winga mahiri Ousmane Papi Sakho.
Unajua tofauti ya kiungo mchezeshaji/mshambuliaji ( attacking Midfielder)Sasa utamlinganisha sureboy na Kanoute[emoji16]
Mauya atamfikia kanouté?Hata angekuwa kiungo box to box, Kanoute ni kawaida sanaa kwa wazawa wengi tu hapa bongo
Akili haunazo na sizani ata kama umeshawahi kugusa mpiraUnajua tofauti ya kiungo mchezeshaji/mshambuliaji ( attacking Midfielder)
Na;
Kiungo mkabaji ( Defensive Midfielder)?
Kanoute anacheza namba 6 au 8( kama box- box midfielder).
Salum Abubakar "Sureboy" anacheza namba 10.
Jukumu la sure boy ni kutengeneza nafasi za magoli wakati jukumu la kanouté ni kuzuia.
Umeona tofauti? Usiwe mbuzi [emoji28]
Ungekuwa unajua soka wala usingeamua kuja na hayo matusi mkuuAkili haunazo na sizani ata kama umeshawahi kugusa mpira
Hakuna namba inayoitwa Box to box kila mchezaji ana namba uwanjani usilete mbwe za kishoga za kina ambangile