Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

Sawa kabwili
 
Hata kama fei hajui ila kamzidi kanoute
 
Namba hazijawahi kudanganya aisee[emoji28][emoji28].
Akikujibu kwa hoja bila taarabu au majungu, naomba unitag mkuu
Yaani hawa jamaa wakianza kujisifia kuwa hamna cha Aucho wala Bangala eti Kanoute kawapoteza, utafikiri vile Simba walishinda mechi na pia yanga wakashindwa kutengeneza nafasi za magoli kiasi kwamba Aucho na Bangala waonekane ni mizigo tu. Kumbe ukweli wa mambo Yanga walitengeneza nafasi nyingi sana za magoli kupitia hao hao wakina Bangala na Aucho isipokuwa umakini wa umaliziaji ulikuwa ndio kilichopelekea yanga kutopata goli.
 
Tangu nianze kujitambua sijawahi kuona shabiki wa yanga mwenye akili timamu, sijui kwa nini yani.
Hata Manara aliwahi sema hili, mashabiki wa yanga wenye akili n JK ba baba ake yeye mzazi, Sunday manara.
Wengine wote n mazumbukuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeeh tena kashfa gani hiyo hebu eleza hapa tujue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa patamu sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu nianze kujitambua sijawahi kuona shabiki wa yanga mwenye akili timamu, sijui kwa nini yani.
Hapo umewatusi hadi ndugu zako waliopo ndani ya ukoo wenu wanaoshabikia timu ya yanga
 
Duuuuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaaaah, hii ndo JF uwiiiiih
 
Duuuuuuuuh hatareeeh sana.
 
Hata Manara aliwahi sema hili, mashabiki wa yanga wenye akili n JK ba baba ake yeye mzazi, Sunday manara.
Wengine wote n mazumbukuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unayaongeleaje na maneno ya rage alipokua chairman wa makolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…