Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

Kauli ya Rage bado inaishi kichwani mwa wazee chuplichupli makolo fc.
 
Kauli ya Rage bado inaishi kichwani mwa wazee chuplichupli makolo fc.
Vipi ile Kauli ya aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( kutoka nchini Ubelgiji ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe imeshawatoka Vichwani mwenu? Na bahati nzuri hata YouTube ipo iimejaa tele tu huko.
 
Vipi ile Kauli ya aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( kutoka nchini Ubelgiji ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe imeshawatoka Vichwani mwenu? Na bahati nzuri hata YouTube ipo iimejaa tele tu huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha kuhusu Godfrey Bony (ndanje) kiungo fundi kweli kweli. Ni vile miundombinu ya soka la bongo ina ukakasi sana, ila tuliosoma na kukua na 'Ndanje' pale Tukuyu wilaya ya Rungwe mkoani mbeya tulishuhudia 'udambwi' wa hali ya juu wa kiumbe yule.
RIP Bony, bado kaka zako wa mtaani akina Nsajigwa (fuso) Godfrey Katepa, nk wapo wanakukumbuka.
 
Mchambuzi wa mchongo/Chupli Chupli/Muhuni/Njaa kali .
Maisha ya kijanja janja ,kitapeli tapeli,weledi zero. Upuuzi mtupu,Njaa mbaya sana.Post zako nyingi ni za kimchongo mchongo leo unasema hivi kesho unabadilika na kusema hivi huna msimamo wewe ndiyo wale wale Chupli Chupli,mchambuzi wa mchongo.Hovyo kabisa,sijawahi na wala sitokuja kuwahi kukuamini. Wana jamii forum mfuatilieni huyu Bwana post zake mtakubaliana na ninachokisema Mimi hafahi hata Kidogo ni kinyonga.Hovyo kabisa,zero taaluma
 
*hafai siyo hafaHi
 
Kusoma sio kuwa na uelewa, unaweza ukasoma sana ukakosa uelewa, na unaweza usisome sana lakini ukawa na uwezo wa kupambanua mambo / uelewa, sijui unaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…