Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ile Kauli ya aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( kutoka nchini Ubelgiji ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe imeshawatoka Vichwani mwenu? Na bahati nzuri hata YouTube ipo iimejaa tele tu huko.Kauli ya Rage bado inaishi kichwani mwa wazee chuplichupli makolo fc.
Hujarithi ,'Ufirauni' wake ule na Dogo wa Kawe Ukwamani aitwae Junior Jeby?Sawa kabwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo liongelee weeUnayaongeleaje na maneno ya rage alipokua chairman wa makolo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi ile Kauli ya aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( kutoka nchini Ubelgiji ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe imeshawatoka Vichwani mwenu? Na bahati nzuri hata YouTube ipo iimejaa tele tu huko.
Nimeshamjibu katika post yangu #103.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo liongelee wee
Umenikumbusha kuhusu Godfrey Bony (ndanje) kiungo fundi kweli kweli. Ni vile miundombinu ya soka la bongo ina ukakasi sana, ila tuliosoma na kukua na 'Ndanje' pale Tukuyu wilaya ya Rungwe mkoani mbeya tulishuhudia 'udambwi' wa hali ya juu wa kiumbe yule.Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie Wachambuzi wa Michezo katika Redio za Tanzania huwa mnavuta au mnavutishwa Kwanza Bange au?
Wewe Mchambuzi Wilson Oruma ambaye huko Azam Media wamekutema na kila uendako kutokana na Unafiki wako huwa hudumu na sasa unapiga tu 'Deiwaka' mara Clouds FM na sasa EFM siyo Wewe ambaye mwaka jana ulisema kuwa Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje ghafla umebadili ulichokisema? au unadhani akina GENTAMYCINE ni wasahaulifu n hatutunzi Kumbukumbu zenu mkiwa mnaongea?
Halafu Wewe Wilson Oruma ni kwanini kila ukipewa nafasi ya Kuchambua ni lazima tu utainanga na utaonyesha Chuki zako za wazi wazi kwa Simba SC? Hivi huwa hujishtukii au kuhisi pia kuwa wenye Akili na wenye uwezo wa Kuuchambua Mpira kuliko Wewe tayari tumeshakudharau Kitambo tu?
Wilson Oruma (Mchambuzi Mnafiki na wa hovyo hovyo) Tanzania hivi umeshajiuliza ni kwanini wana Simba SC wengi ( nami GENTAMYCINE nikiwemo) tunampenda sana Mchambuzi Msomi, Mweledi, mwana Yanga SC 'lia lia', halafu anaujua Mpira wenyewe na Kaucheza kwa Kiwango cha Kimataifa Ally Mayai Tembele? Tafadhali mtafute ili ujifunze vingi Kwake kwani hana Uyanga bali husimamia Uhalisia, Uwazi na Ukweli kila achambuapo Studioni na Redioni.
Wakati ukihangaika Kumsifia na Kumpamba Kiungo Salum Aboubakary 'Sure Boy' kuwa ndiyo Kiungo bora nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa huyu Mchezaji wako hajafikia hata tu 15% ya uwezo na Kipaji alichokuwa nacho Haruna Niyonzima, Thabani Kamusoko na Marehemu Godfrey Bonny.
Halafu ulivyo Mnafiki Mchambuzi wa hovyo hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza umesema kuwa Kiungo Salum Aboubakary'Sure Boy' anaweza Kucheza Timu yoyote ile nchini (tena anaanza) una uhakika? Wewe Jamaa nilikuwa nakuheshimu ila kwa Upuuzi huu ulionao sasa natangaza rasmi Kukupuuza na Kukudharau.
Yanga SC kama kuna nafasi ya Ajira hapo Klabuni Kwenu hata tu ya Kuwafulia Boksa zao akina Bangala, Aucho na Ntibazonkiza hebu mpeni (muajirini) huyu Mchambuzi Wilson Oruma kwani 'anajipendekeza' Kwenu mpaka anaboa na Kutupandisha Hasira tu tukiwa tunamsikiliza.
Usimfananishe Kanoute na vitu vya ajabu...mchezaji hata Uganda hajawah cheza unamfananisha na fundi kutoka Mali??..Oruma we.Sasa utamlinganisha sureboy na Kanoute[emoji16]
Mchambuzi wa mchongo/Chupli Chupli/Muhuni/Njaa kali .Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie Wachambuzi wa Michezo katika Redio za Tanzania huwa mnavuta au mnavutishwa Kwanza Bange au?
Wewe Mchambuzi Wilson Oruma ambaye huko Azam Media wamekutema na kila uendako kutokana na Unafiki wako huwa hudumu na sasa unapiga tu 'Deiwaka' mara Clouds FM na sasa EFM siyo Wewe ambaye mwaka jana ulisema kuwa Tanzania nzima hakuna Kiungo bora na Mchezeshaji kama Feisal Salum Fei Toto? Leo tena imekuwaje ghafla umebadili ulichokisema? au unadhani akina GENTAMYCINE ni wasahaulifu n hatutunzi Kumbukumbu zenu mkiwa mnaongea?
Halafu Wewe Wilson Oruma ni kwanini kila ukipewa nafasi ya Kuchambua ni lazima tu utainanga na utaonyesha Chuki zako za wazi wazi kwa Simba SC? Hivi huwa hujishtukii au kuhisi pia kuwa wenye Akili na wenye uwezo wa Kuuchambua Mpira kuliko Wewe tayari tumeshakudharau Kitambo tu?
Wilson Oruma (Mchambuzi Mnafiki na wa hovyo hovyo) Tanzania hivi umeshajiuliza ni kwanini wana Simba SC wengi ( nami GENTAMYCINE nikiwemo) tunampenda sana Mchambuzi Msomi, Mweledi, mwana Yanga SC 'lia lia', halafu anaujua Mpira wenyewe na Kaucheza kwa Kiwango cha Kimataifa Ally Mayai Tembele? Tafadhali mtafute ili ujifunze vingi Kwake kwani hana Uyanga bali husimamia Uhalisia, Uwazi na Ukweli kila achambuapo Studioni na Redioni.
Wakati ukihangaika Kumsifia na Kumpamba Kiungo Salum Aboubakary 'Sure Boy' kuwa ndiyo Kiungo bora nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa huyu Mchezaji wako hajafikia hata tu 15% ya uwezo na Kipaji alichokuwa nacho Haruna Niyonzima, Thabani Kamusoko na Marehemu Godfrey Bonny.
Halafu ulivyo Mnafiki Mchambuzi wa hovyo hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza umesema kuwa Kiungo Salum Aboubakary'Sure Boy' anaweza Kucheza Timu yoyote ile nchini (tena anaanza) una uhakika? Wewe Jamaa nilikuwa nakuheshimu ila kwa Upuuzi huu ulionao sasa natangaza rasmi Kukupuuza na Kukudharau.
Yanga SC kama kuna nafasi ya Ajira hapo Klabuni Kwenu hata tu ya Kuwafulia Boksa zao akina Bangala, Aucho na Ntibazonkiza hebu mpeni (muajirini) huyu Mchambuzi Wilson Oruma kwani 'anajipendekeza' Kwenu mpaka anaboa na Kutupandisha Hasira tu tukiwa tunamsikiliza.
*hafai siyo hafaHiMchambuzi wa mchongo/Chupli Chupli/Muhuni/Njaa kali .
Maisha ya kijanja janja ,kitapeli tapeli,weledi zero. Upuuzi mtupu,Njaa mbaya sana.Post zako nyingi ni za kimchongo mchongo leo unasema hivi kesho unabadilika na kusema hivi huna msimamo wewe ndiyo wale wale Chupli Chupli,mchambuzi wa mchongo.Hovyo kabisa,sijawahi na wala sitokuja kuwahi kukuamini. Wana jamii forum mfuatilieni huyu Bwana post zake mtakubaliana na ninachokisema Mimi hafahi hata Kidogo ni kinyonga.Hovyo kabisa,zero taaluma
Oky mkuu.Noted*hafai siyo hafaHi
Sasa kama ni ukweli tusiseme ??.Hapo umewatusi hadi ndugu zako waliopo ndani ya ukoo wenu wanaoshabikia timu ya yanga
Kusoma sio kuwa na uelewa, unaweza ukasoma sana ukakosa uelewa, na unaweza usisome sana lakini ukawa na uwezo wa kupambanua mambo / uelewa, sijui unaelewa?Angekuwa ni wa Kawaida hivyo Siku ile katika Kariakoo Derby akina Aucho na Bangala wenu wangekuwa wanapoteana tu pale kwa Mkapa Temeke?
Je, ulimsikia Kocha wako 'Fundi' Nasredinne Nabi katika ile 'post match interview' yake na Azam Tv aliposema kuwa waliomnyima Ushindi Siku ile walikuwa ni Kipa Aishi Manula, Beki Joash Onyango na Kiungo Saido Kanoute huyu unayemdharau hapa?
Kocha Nabi na Wewe nani kasomea Soka?
In short kuna wazawa wengi ni bora sanaHafiki ata kwa Juma Nyangi wa Mtibwa sugar