Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Jamaa ni mbumbumbu haswaKuwa na akili nayo ni bahati,mleta mada hakubahatika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mbumbumbu haswaKuwa na akili nayo ni bahati,mleta mada hakubahatika.
Kuna mwenzio alizitaja timu nne ambazo alidai Yanga hatatoboa... Tatu katika hizo zote kawanyoosha... Moja huyo atakayekutana naye atanyooshwa tuNaendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Yaani timu zingine kama Azam, Geita, Namungo na Mbeya city zingekuwa na consistency, Simba wangekuwa na kazi ya kuipata nafasi ya piliKuna mwenzio alizitaja timu nne ambazo alidai Yanga hatatoboa... Tatu katika hizo zote kawanyoosha... Moja huyo atakayekutana naye atanyooshwa tu
Ongezea ubora wa Simba kwa kuongeza vifuatavyo; Ulozi kwenye Uwanja wa Mkapa na sasa nje ya mipaka ya Tanzania na 'Mind Game'.Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Wanazungumzia kwenye Ligi sio Azam Confederation Cup. Hii ilikuwa Azam Confederation Cup.Hivi misimu gani miwili mnayoizungumzia? Hii hapa chini ilikuwa tarehe 13 Julai, 2020
View attachment 2201656
Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Kwani Simba anapoipiga Yanga goli nne huwa anachagua aina ya mashindano?Wanazungumzia kwenye Ligi sio Azam Confederation Cup. Hii ilikuwa Azam Confederation Cup.
YANGA 2 - SIMBA 1 TAREHE 30 APRILNaendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
NakaziaNaendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Hata mimi nakubaliana na wewe 100%Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Inabidi itungwe sheria kwamba kama wa kwanza na wa pili wanapichana point 10, basi nafasi ya pili isemwe haina mtu.. Huwezi kumzidi mwenzako point 10 afu uitwe wewe wa piliYaani timu zingine kama Azam, Geita, Namungo na Mbeya city zingekuwa na consistency, Simba wangekuwa na kazi ya kuipata nafasi ya pili
Nafikiri, hujamuelewa mtoa mada, hivi beki ya Namungo utalinganisha na ukuta wa Berkene, Orlando na asec mimosas. Hakuna timu hapa tz aliyoikamia Yanga. Anachosema ni kweli, bila Yanga kusukwa vizuri. October inatolewa preliminary stage. Simba ameshindwa kushinda kila mahali kwa sababu ya majukumu ya kimataifa. Hivyo kwenye ukomavu Yanga bado sana. Kila timu inaikamia simba maana kuifunga simba ni sawa na kuchukua kombe.Hoja yako inakosa logic. Kama Simba alicheza hizo mechi na akakomaa kama unavyosema, tulitarajia afanye vizuri mechi za ndani na za nje kutokana na huo ukomavu. Hivi utawaambia watu kitu gani kwamba Simba kakomaa ila anashindwa kumfunga Mtibwa?
Au tuulize, iweje useme Yanga hajakomaa ila anaongoza ligi kwa margin ya points 13?. Kurahisisha zaidi, hebu eleza, huo ukomavu wa Simba katika muktadha wa ligi inayoongozwa na Yanga.
Jambo jema Ni kwamba huoni[emoji23][emoji23][emoji23]Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Ondoa neno Takribani.Kwani Kupita Kwenye Ayo Matanuru Mmeanza Msimu Huu?, Na Mbona Hamkuwahi Kuchukua Point 3 Dhidi Ya Yanga Takribani Misimu Miwili Mfululizo?
Naunga mkono hoja.Inabidi itungwe sheria kwamba kama wa kwanza na wa pili wanapichana point 10, basi nafasi ya pili isemwe haina mtu.. Huwezi kumzidi mwenzako point 10 afu uitwe wewe wa pili
Assec, Al Ahl, mamelody, TP Mazembe, Wydad , Atletico wote hao wapo huko alipo kua Simba na kwenye ligi zao za ndani bado wamekaza hapo unasemaje?Nafikiri, hujamuelewa mtoa mada, hivi beki ya Namungo utalinganisha na ukuta wa Berkene, Orlando na asec mimosas. Hakuna timu hapa tz aliyoikamia Yanga. Anachosema ni kweli, bila Yanga kusukwa vizuri. October inatolewa preliminary stage. Simba ameshindwa kushinda kila mahali kwa sababu ya majukumu ya kimataifa. Hivyo kwenye ukomavu Yanga bado sana. Kila timu inaikamia simba maana kuifunga simba ni sawa na kuchukua kombe.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tutaanza J1 waheshimiwa Utopolo... msiwe na wasiwasiKwani Kupita Kwenye Ayo Matanuru Mmeanza Msimu Huu?, Na Mbona Hamkuwahi Kuchukua Point 3 Dhidi Ya Yanga Takribani Misimu Miwili Mfululizo?