changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Nafikiri, hujamuelewa mtoa mada, hivi beki ya Namungo utalinganisha na ukuta wa Berkene, Orlando na asec mimosas. Hakuna timu hapa tz aliyoikamia Yanga. Anachosema ni kweli, bila Yanga kusukwa vizuri. October inatolewa preliminary stage. Simba ameshindwa kushinda kila mahali kwa sababu ya majukumu ya kimataifa. Hivyo kwenye ukomavu Yanga bado sana. Kila timu inaikamia simba maana kuifunga simba ni sawa na kuchukua kombe.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Mwaka jana Simba ilichukua FA na ligi kuu hakuwa na majukumu ya kimataifa?
Kipimo cha kukamiwa unakipimaje? Kwasababu kama unatumia kipimo cha kukamiwa kwa matokeo ya kufungwa basi utakuwa unakosea kwasababu timu inaweza kukamiwa lakini ikaweza ku win mechi.
Yanga anaweza kutolewa preliminary stage sio kwasababu ya kuwa na kikosi bora bali kwa kushindwa kujipanga ipasavyo kwenye mbinu za ushindi hasa unapokuwa nyumbani.
Simba ingekuwa na kikosi bora kama unavyosema basi tusingeona nyzi kibao za kufukuza wachezaji zaidi ya nusu kikosi.