Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

Kuna mwenzio alizitaja timu nne ambazo alidai Yanga hatatoboa... Tatu katika hizo zote kawanyoosha... Moja huyo atakayekutana naye atanyooshwa tu
 
Ongezea ubora wa Simba kwa kuongeza vifuatavyo; Ulozi kwenye Uwanja wa Mkapa na sasa nje ya mipaka ya Tanzania na 'Mind Game'.
 
Hivi wewe kolo kwa kikosi hiki Cha Wazee ndo unachojinasibu..!!!
Hv nyie Makolo mliofungwa na Mtibwa, Mbeya city, kagera na kutoa madraw kibao na Timu za kipumbavu ambazo zote Yanga kashinda ndo mje muifunge Yanga..
30 April mtafumuliwa hapohapo mliposhonwa na Orlando
 
MUWEWESEKO PRO MAX
 
YANGA 2 - SIMBA 1 TAREHE 30 APRIL
 
Nakazia
 
Hata mimi nakubaliana na wewe 100%
 
Nafikiri, hujamuelewa mtoa mada, hivi beki ya Namungo utalinganisha na ukuta wa Berkene, Orlando na asec mimosas. Hakuna timu hapa tz aliyoikamia Yanga. Anachosema ni kweli, bila Yanga kusukwa vizuri. October inatolewa preliminary stage. Simba ameshindwa kushinda kila mahali kwa sababu ya majukumu ya kimataifa. Hivyo kwenye ukomavu Yanga bado sana. Kila timu inaikamia simba maana kuifunga simba ni sawa na kuchukua kombe.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jambo jema Ni kwamba huoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Assec, Al Ahl, mamelody, TP Mazembe, Wydad , Atletico wote hao wapo huko alipo kua Simba na kwenye ligi zao za ndani bado wamekaza hapo unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…