Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi



Mwaka jana Simba ilichukua FA na ligi kuu hakuwa na majukumu ya kimataifa?

Kipimo cha kukamiwa unakipimaje? Kwasababu kama unatumia kipimo cha kukamiwa kwa matokeo ya kufungwa basi utakuwa unakosea kwasababu timu inaweza kukamiwa lakini ikaweza ku win mechi.

Yanga anaweza kutolewa preliminary stage sio kwasababu ya kuwa na kikosi bora bali kwa kushindwa kujipanga ipasavyo kwenye mbinu za ushindi hasa unapokuwa nyumbani.

Simba ingekuwa na kikosi bora kama unavyosema basi tusingeona nyzi kibao za kufukuza wachezaji zaidi ya nusu kikosi.
 

Kwanini mliishia kwenye Preliminary Stage , ni kwasababu mlikosa Compétence na skills . Kubali SSC inawazidi kwa ubora katika anga za international. Ligi ya ndani sio kipimo chako bora kubali
 
Simba imekua Tested kimataifa Kwa miaka mingi na ndio timu iliyofungwa na Yanga Kwa miaka mingi. Simba Ata ingekua imebeba kombe la klabu bingwa lakini kupigwa na Yanga ni jambo la kawaida.

Hii Historia yako itakuwa ulejifunza kwa Ole Langai Manara. Mmasai Mfupi
 
Kuna mwenzio alizitaja timu nne ambazo alidai Yanga hatatoboa... Tatu katika hizo zote kawanyoosha... Moja huyo atakayekutana naye atanyooshwa tu

Tunatizama mpira. Ni ushindi wa bahati bahati
 

Tumebakiza siku ngapi ; nakushauri weka kiasi
 
Inabidi itungwe sheria kwamba kama wa kwanza na wa pili wanapichana point 10, basi nafasi ya pili isemwe haina mtu.. Huwezi kumzidi mwenzako point 10 afu uitwe wewe wa pili

Ni mapema sana Kwenye ligi
 
Assec, Al Ahl, mamelody, TP Mazembe, Wydad , Atletico wote hao wapo huko alipo kua Simba na kwenye ligi zao za ndani bado wamekaza hapo unasemaje?

Andika hapa nafasi zao kwenye msimamo wa ligi zao

Shida yenu wengi ni mamluki

Mamluki mtatoka
 
Utasemaje yanga ipo vizuri wakati imepigwa hom and away na Rivers united.
 
Na kwa bahati mbaya sana Mwamba wa Lusaka Dearby hii huwa hafurukuti kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…