Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

u
Huyu hana uwezo. Wakati AS VITA inakula goli 4 pale Lupaso huyu nae alikuwepo

Na hakuwa na madhara na hana madhara ni ushamba wenu
umemuota mchana au usiku ammi 😂 😂
 
Kwanini mliishia kwenye Preliminary Stage , ni kwasababu mlikosa Compétence na skills . Kubali SSC inawazidi kwa ubora katika anga za international. Ligi ya ndani sio kipimo chako bora kubali
Kwahyo hapa tunajadili nini mzee?

Maana naona unaenda nje ya mada.
 
Kwanini mliishia kwenye Preliminary Stage , ni kwasababu mlikosa Compétence na skills . Kubali SSC inawazidi kwa ubora katika anga za international. Ligi ya ndani sio kipimo chako bora kubali
Simba aliishia wapi CCL??
 
Janjajanja za GSM ndizo zinazofanya Yanga aongoze ligi ya nbc ambayo anadhamini baadhi ya vilabu ktk ligi hiyo na wala siyo ubora wa timu. Ukitaka kuthibitisha hilo angalia mechi ambazo GSM anajisahau kuingiza mkono jinsi Yanga inavyoangaika kupata matokeo.

1. Klabu bingwa , Yanga alipigwa nje ndani na River
2.Wiki ya mwananchi , kapumbu 1, Yanga 0
3.Mapinduzi cup kilichotokea mnajua wenyewe
4. Mechi na geita gold , uto aliokolewa na refa.

Kwahiyo Yanga ni timu ya kawaida Sana kama ilivyo namungo na ihefu.
 
Misimu Miwili Mfululizo Wamecheza Izo Mechi Zao Za Ukomavu Na Hawajawahi Kuchukua Point 3 Mbele Ya Timu Isiyokuwa Na Ukomavu Kudadek.[emoji23]
Bila kuchagua aina ya mashindano takwimu ziko hivi;

Yanga 1, simba 0 (morisson)
Yanga 1,simba 4
Yanga 1, simba 0(mauya)
Yanga 0, simba 1 (Lwanga)
Yanga 1 , simba 0 (mayele)
30/4/2022. ...?........
Kwa takwimu hizo sioni kama kuna tofauti kubwa Sana za kumfanya mmoja aonekane mnyonge mbele ya mwenzake.
Tusubiri jmosi .
 
Nenda Kalale
 
Kigomaaaaa ! Ee kigomaaaaa we!
 
Umesahau ngao ya hisani
 
Wachawi Fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…