Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

Daaaaaah.! Umejuaje aisee. We CIA nini??

For sure nimelamba asali katika halmashaur mashuhuri.

Mungu mwema sana.!

Asnt maana nilishaa usahau huu uzi kama nikiwahi uandikaga.!

Hongera,nenda kale rushwa sasa,usionee huruma mali ya umma,ila ukikamatwa na takukuru usianze kulialia[emoji23]
 
Cheti kitakusaidia baadae.Tuliza kichwa hizo changamoto zitaisha
Pokea maua yako.!

[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji817]
 
naomba nikutie moyo, inawezekana haujapapata pa kuanzia tu. kuna siku mambo yatasettle. binafsi nilisoma, na nilikaa muda fulani nikitegemea ajira ya kuajiriwa. nilikuwa napata pesa ya mboga tu. ila siku nilipoamua kutumia ile elimu niliyoisoma kuibadilisha kuwa biashara ambayo mimi mwenyewe ndio Boss na final say, hata kama miaka kama 2 ilinikatisha tamaa nilipokuwa kukamata lami, nipo pazuri sana na utumwa ule wa kuajiriwa sitaki hata kuukumbuka. elimu yeyote unatakiwa usome sio ili uajiriwe, bali uitumie kwa manufaa yako nje kabisa ya ajira, hapo ndio utaona ina faida. ila kama utasubiria ajira, hata ukiajiriwa haitakusaidia vya kutosha.
 
Kwa vyovyote vile umesomea SUA kuwa mvumilivu . Zikitoka Ajira za ualimu omba walimu wa agriculture na biology. Ukipata Ajira njoo nikuunganishe unafanyiwa recategorization unakuwa afisa kilimo au mifugo or etc
Your love is real.! God bless you so that you can witness kindness of God in your life too according to your faith shown up.

Nimechaguliwa kwa qualification ya kwanza haina haja ya re-cate.
 
Unapataje 'F' kwemye BAM mkuu??
 
ofcourse ukipata ajira, inatakiwa kuwa sehemu ya kuanzia tu ukiwa unajiandaa kutoka ujitegemee. yaani ni sehemu ya kupata pa kulia msosi wakati unafanya maandalizi ya kudumu nje ya ajira.
 
Asante, umeniongezea kitu.

Actually miaka 10+ niliyoitumia kupapasa mtaani imenifunza mengi.
Changamoto hasa ni back up hasa pale unapoyumba au demand ya bidhaa yako inakua kubwa kuliko supply, unapoteza wateja sn maana kila mteja akija unasema njoo kesho wakati huo anaenda kumzoea muuzaji mwingine.!
Natambua mshahara ni mdogo hautoshi kabisa, but i have right knowledge on how to multiply it.
 
Unapataje 'F' kwemye BAM mkuu??
Tulidanganyana class kwamba hiyo BAM hata upate A haina msaada wowote.

Ilipelekea BAM niitoe kwenye ratiba ya kujisomea kabisa.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…