Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M nimekumiss.Siku hizi wanatukamata navyo we pambana tu kivyako
Cheti cha ndoa unaweza kutumia kuomba mke uoe? Cheti cha ndoa ni fasheni na show offMi nauza "CHETI CHA NDOA" (Promotion 20% Off).
M nimekumiss.
Naomba uje pm nikusalimu tafadhali.
Kuna wakati nilipata ajira serikalini ila sikuwa na cheti cha kuzaliwa walichokuwa wanataka pia. Ili nipate cheti cha kuzaliwa ilitakiwa niwe na kadi ya kliniki au cheti cha ubatizo, nikaambiwa niende kanisa mmoja wanatoa vyeti vya ubatizo. Kufika kule niliulizwa nitaje mchungaji aliyenibatiza nikapatwa na kigugumizi, kwanza sikuwa mshirika wa kanisa hilo na wachungaji wao siwajui. Ilibidi niondoke tu niende hospitalini kujaziwa kadi ya kliniki ili nikapate cheti cha kuzaliwa nikamilishe vielelezo vya kuajiriwa. Kwa hiyo hata vyeti vya ubatizo ni vigumu kuvipataNasubiri vya ubatizo.
Hivi wale tbc1 tangazo la shukrani huwa wanadai cheti cha kifo ndio warushe hewani picha ya marehemu au wanawaamini sana wateja wao? Ukute mtu kapeleka tangazo la kifo kumbe anayetangazwa ni mzimaCha kifo unacho.....???
Tatizo mumeo anakutosha wewe tu, kwa wengine hakidhi viwango walivyovipangaAnaetaka Mume ntampa wa kwangu bureeee, staki hata mia.
Stanii mimi
Kwa vyovyote vile umesomea SUA kuwa mvumilivu . Zikitoka Ajira za ualimu omba walimu wa agriculture na biology. Ukipata Ajira njoo nikuunganishe unafanyiwa recategorization unakuwa afisa kilimo au mifugo or etcKichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.
Sifa ya vyeti
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma in Education Teaching, chuo St. John.
Bei ya vyeti vyote ni tsh 18,000,000
Tutawasiliana Pm mpaka tuonane nikukabidh mzigo nawe unipe hiyo pesa.
Hii ni baada ya kuona naenda off target na mahitaji ya serikali yangu kwa soko la ajira.
Kwa sasa napatikana Rufiji njoo tufanye biashara.
Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.
Sifa ya vyeti
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma in Education Teaching, chuo St. John.
Bei ya vyeti vyote ni tsh 18,000,000
Tutawasiliana Pm mpaka tuonane nikukabidh mzigo nawe unipe hiyo pesa.
Hii ni baada ya kuona naenda off target na mahitaji ya serikali yangu kwa soko la ajira.
Kwa sasa napatikana Rufiji njoo tufanye biashara.
mi 2012. Nishaa give up kuwa mtumishi wa serikal, kibaya nimesoma kwa tabu ningejua niachie kidato cha nne niwahi mambo mengine mtaani huenda ningekua mbali kuliko nilipo sahizi.Sijui una mda gani baada yakumaliza chuo! Kuna mshikaji wangu ana CPA plus MBA Mzumbe! 2019 Lakini hana kazi! Anapiga story kwenye vijiwe nakuomba omba hela za kula! MBA plus CPA alisomeshwa na kaka yake,enzi za miaka ya 2018 akavuta!!
Mkuu vipi tako hauuzi
Mkuu vipi tako hauuzi
Ukikosa mteja kabisa njoo in-boxKichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.