Yule ni mwehu kama magufuliRais Donald Trump amesaini sheria (presidential decrees) kadhaa zikiwemo zinazohusiana na wanaoitwa wahamiaji haramu na haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa raia wa kigeni wanaozaliwa nchini Marekani. Sheria hizo zinazotakiwa zianze kutumika kuanzia 19/2/25 zimeshazua mtafaruku mkubwa nchini humo na tayari majimbo 22 yameenda mahakamani kuzipinga.
Asa umejibu ili iweje? Mana mpumbavu kama mimi sitakiwi kujibiwa!Mpumbavu kama wewe huna hata haja ya kujibiwa... Yabayotokea Marekani Sasa hivi ilikuwa ni sera za democrats kuweka mianya ya illegal immigrants kuingia Kwa wingi na kuhatarisha maisha ya wamarekani. Kama hujui madhara ya watu kuwa raia wa nchi yako bila kuwafanyia enough vetting wewe ni mpumbavu hupaswi hata kuelimishwa
Ukienda Burundi wamejaa na kadi za kupigia kura za Tanzania na wana kadi za Ccm wanasema Tanzania ukiwa na hizo kadi husumbuliwi. Watu wanamiliki ardhi chanika na maeneo mengi ya nchi kinyume na Sheria.
Kuna wageni wengi wanamiliki ardhi bila vibali.
Mwingine kanitukana na kunitukana asa sijui ntajibiwa na naniUkipewa majibu yaliyonyooka niite Steve Nyerere nimekaa pale.
Ni ajabu watu wanakuwa na visirani hivi.Mwingine kanitukana na kunitukana asa sijui ntajibiwa na nani
No what? Stori yake nzima iko wazi katika website ya timu yake ya R Madrid, nenda kaisome.
NimeshasomaNo what? Stori yake nzima iko wazi katika website ya timu yake ya R Madrid, nenda kaisome.
Kweli kukumbukwa ndo huku!Alisema atakumbukwa hata akiwa hayupo.
AFRICA is One, tuna warundi, wakongo, wasomali, wangapi Tanzania na wanaishi bila shida yoyote, uraia unaweza kuwa granted kwa raia wenye manufaa kama nchi zote kubwa duniani zifanyavyo, sioni baya!Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Sheria ya nchi ndo ifuatwe, hakuna anaye kataa!AFRICA
AFRICA is One, tuna warundi, wakongo, wasomali, wangapi Tanzania na wanaishi bila shida yoyote, uraia unaweza kuwa granted kwa raia wenye manufaa kama nchi zote kubwa duniani zifanyavyo, sioni baya!
Hata hili linatatiwa timing. Kaa kwa kutulia.Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Mbona aina ya viongozi, sifa na matukio mengi udhihirisha ni Banana Republic?Pumbav mkubwa ww unafikiri uraia unatolewa km pipi bila mchakato ?unafikiri hii ni Banana Republic ?
Wanashindwa kufuata katiba, hivyo vijimaandiko ndo vifuatwe?Sheria ya nchi ndo ifuatwe, hakuna anaye kataa!
Mbona Kibu D alipewa kipindi JPM yupo? Nini kilitokea?Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
magufuli mwenyewe hakuwa mtanzania halisiNaiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!