Yule ni mwehu kama magufuliRais Donald Trump amesaini sheria (presidential decrees) kadhaa zikiwemo zinazohusiana na wanaoitwa wahamiaji haramu na haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa raia wa kigeni wanaozaliwa nchini Marekani. Sheria hizo zinazotakiwa zianze kutumika kuanzia 19/2/25 zimeshazua mtafaruku mkubwa nchini humo na tayari majimbo 22 yameenda mahakamani kuzipinga.