Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Alikuonyesha ID card au ulimtambuaje ni yeye wakati umeelezea tofauti hiyo!
 
Naona umeamua kuongelea zaidi upande wa pili wa jinsia ya K....Uzuri ni tabia wala sio sura.

Kwahio Nancy ana tabia chafu au? Kwakua ww unamjua Nancy Sumari Personally na tabia zake chafu unazijua basi comment kivyako sio kudandia comments za watu waliomsifia, usiforce na mimi nimponde while sijawahi kuskia scandal yake yyte. yaani Kumsifia mtu kwamba ni mzuri na anajielewa imekua dhambi? Haya basi Nancy ni mbaya sana, mama yako ww ndo mzuri, umefurahi? Salam zao.👋
 
Jinsi ulivyo kurupuka kujibu comment yangu, Eti "Mb Dod..." Ina dhihirisha jinsi gn hata kwenye kusoma Comments za watu unakurupuka na huelewi chochote. Usinichoshe[emoji112]
Mambo mrembo?

Si unajua mimi ndiye mmiliki halali wa huu uzi eeh.. Naweza kukuhonga wote huu ukawa mali yako. Au unasemaje?

Babe Nalendwa usisome hapa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wajifunze kwa Nancy ,umaarufu uisha ..
 
Halafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
Usikute walikua wanadanga wote enzi hizo...
 
Kwamba Vee nae na IUKWIM? Blaza hivi raia mnazitoaga wapi hizi taarifa? Miaka ya nyuma watu walizusha Blue anao anao lakini bado yupo fiti..
 
Kwa haya majibu hakika we jamaa ni jeuri saanaaa...
 
Kwamba Vee nae na IUKWIM? Blaza hivi raia mnazitoaga wapi hizi taarifa? Miaka ya nyuma watu walizusha Blue anao anao lakini bado yupo fiti..
oya mkuu nimesha explain mara kibao hapo juu.... hilo neno siyo ukimwi... ni kifupi cha IF U KNOW WHAT I MEAN..... "IUKWIM" the same na unavyosema TBT ukimaanisha Throw Back Thursday....
 

Sasa kwann ww unanilazimisha niamini kwamba anatabia nzuri?
 
Sasa kwann ww unanilazimisha niamini kwamba anatabia nzuri?

Nimekulazimisha saa ngp? We mwehu nini, Do I even know you? Ww sindo ulio reply comment yangu kwani nilikuandikia ww Ile comment? Hebu nitolee upumbav wako sina time kujibishana na wapumbav kama ww! Inaelekea Nancy alikuibia Bwana wako Ndomana unamchukia, POLE & Get well soon.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…