Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
ufupi ulimponza mb dog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo umemaliza kazi.. wakati mwingine wanawake wanaojielewa wanatuongoza kwenye njia safi kimaisha... ila ukipata mbumbumbu umeisha!Kwa akili za Nancy, Mb Dogg angekua sehemu fulani hivi nzuri kimaisha na siyo ya kumtegemea Mhonda.
Alikuonyesha ID card au ulimtambuaje ni yeye wakati umeelezea tofauti hiyo!Nadhani ww kazia tu hapo kwenye kujielewa kwake hayo ya uzuri kila mmoja ana definition yake.
Nimekutana na Nancy kama miaka mwil ilopita pale NMB hq mpya karib na Srena hotel aisee, trust me kwanza hata sikuweza kumjua kama ni yeye.Uzuri nilokua namuona nao kwenye tv na ule urefu wake aisee ni tofauti kabisaa nilivyomuona.tofauti sanaa.Sio m baya actually lakin ni wa kawaida tu.Kawaida.
Lakin nakubal yule dada alikua anajielewa sana nadhan hata kind of company anayojichanganya nayo pia ni cream brains tofauti na hawa masapwala wengine akina wema.
Naona umeamua kuongelea zaidi upande wa pili wa jinsia ya K....Uzuri ni tabia wala sio sura.
Mambo mrembo?Jinsi ulivyo kurupuka kujibu comment yangu, Eti "Mb Dod..." Ina dhihirisha jinsi gn hata kwenye kusoma Comments za watu unakurupuka na huelewi chochote. Usinichoshe[emoji112]
Sema Nancy ni mkristo anajielewa. Hashobokei short-chassisLol. Sio lazma umkubali kila anaeku approach😜 Nancy Sumari ni mzuri sana na anajielewa.
Usikute walikua wanadanga wote enzi hizo...Halafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
Kwamba Vee nae na IUKWIM? Blaza hivi raia mnazitoaga wapi hizi taarifa? Miaka ya nyuma watu walizusha Blue anao anao lakini bado yupo fiti..nimejikuta naikumbuka siku niliyokutana na vee money pale city mall azizi house of jeans
ni kafupi hakana nyama... yani kadogoooo sema tu kapo sexy and she got class....
she is super classy na hyo class ndio inafukia mapungufu yote IUKWIM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya majibu hakika we jamaa ni jeuri saanaaa...Bro
Hate is just a feeling like any other mzee,kama wewe unavyompenda mimi namchukia the other side!
Sijui kwanini watu wana phobia na neno HATE?As if mtu hurusiwi ku-hate!!
Naakaya ni sibling wake ndio maana I brought her up,I like her more...
So,fvck it,I hate fake motherfuckers like this sneaky bitch...
I hate that sleazy slot just for the fvck of it...
Dont get twisted,sina sijui some personal feelings or such and such smell towards the bitch
Kundi la kina Wema si ndio wanalenga kwa kina dogo janja?Halafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
Hahaha.. Na wao wana wing yao.. Kuna Wema, Uwoya, Wolper, Aunty, Ndauka, Riyama et cetera.
oya mkuu nimesha explain mara kibao hapo juu.... hilo neno siyo ukimwi... ni kifupi cha IF U KNOW WHAT I MEAN..... "IUKWIM" the same na unavyosema TBT ukimaanisha Throw Back Thursday....Kwamba Vee nae na IUKWIM? Blaza hivi raia mnazitoaga wapi hizi taarifa? Miaka ya nyuma watu walizusha Blue anao anao lakini bado yupo fiti..
Unikome[emoji57][emoji57]Nadhan uliwahi kusema ndio role model wako
Kwahio Nancy ana tabia chafu au? Kwakua ww unamjua Nancy Sumari Personally na tabia zake chafu unazijua basi comment kivyako sio kudandia comments za watu waliomsifia, usiforce na mimi nimponde while sijawahi kuskia scandal yake yyte. yaani Kumsifia mtu kwamba ni mzuri na anajielewa imekua dhambi? Haya basi Nancy ni mbaya sana, mama yako ww ndo mzuri, umefurahi? Salam zao.👋
Sasa kwann ww unanilazimisha niamini kwamba anatabia nzuri?
I was with my friends.Ndio walinishtuaAlikuonyesha ID card au ulimtambuaje ni yeye wakati umeelezea tofauti hiyo!