Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Namuonaga sana mitaa hiyo. Loh. Maisha yanageuka juu chini [emoji23]
Jamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona

I'm nothing without you GOD [emoji120]
 
Nasikia Mzee Machache alikuwa anawala sana hawa mamiss. Yaani ndio ilikuwa taste yake.

Na makuwadi wake wakubwa walikuwa ni hawa jamaa vibosile siku hizi especially yule ShiBapa wa vifungashio vya ubuyu, mkongwe wetu mzee jene na boss fulani hivi namheshimu sana sitaki kutoa clues zake.

Mzee machache fuska sana. Kawapinda sana kwenye meza za ofisi yake ya town pale.. Inasemekana lakini!

Halafu juzikati nilivyoona Disiii ana ishu Ubalozi wa Le Franco nikaguna. Nina story yake nyeti niliipata from a very close friend..

Mjini hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
CODE:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasheem Thabeet je?hahaaaaaa!!!!kamemlaaa mpk basiii
Kajoketi kalikuwa na shobo sana na vijana maarufu. Nahisi bado ana hiyo tabia. Shobo.
Yaani kenyewe ni maarufu Ila kanashobokea sana mastaa. Refer John Mnyika, Platnumz, Kiba etc.

Sijui ana spotlight syndrome. Lol!
Lakini huenda ni hulka pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnoo sema udada wa mjini unambeba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye msiba wa Ruge karimjee kalikuwa kanahangaika hako na Luca wake...yaan full kukatisha katisha uwanjani nikajiuliza mbona huyu hakai akatulia kama wenzake!

Mademu waruwaru msibani wa kwanza yy, ladvmilllen, Lynn...shangaa sasa yaani diva mtulivu kinoma sio chini ya masaa matatu hajashika simu, wala kuwehuka kama hao niliowataja, full mtulivu kinoma kudos kwake[emoji122][emoji122]

Happy(ladivamillen)ndo wale wale kasoro tarehe tena bora alivyoenda kuishi mamtoni ila nae weeee!!!!ana maringo yuleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom