Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Huo wimbo wa inamaana nilicopy mashairi yake nikamwandikia mrembo mmoja hivi alikuwa mgumu sana kama sikosei ulitoka miaka ya 2003-5 hivi... mpaka kaelewa somo..
 
KUNA MAKUNDI YAFUATAYO MKUU HUTAKIWI KUYAAMINI UKIWA HAI.

1. WANASIASA-USIWAAMINI HATA KIDOGO MKUU WANAJALIMATUMBO YAO NA YAFAMILIA ZILIZO KARIBU NAO. MFANO = NASARI

2. WASANII-HAWA WAPO RADHI KUDHALILIKA ILIMRADI KUPATA UMAARUFU MFANO=AMABA RUTY, NAHAPA INCLUDE HII MADA YAKO. HUENDA HUYO NAZI MSUMARI ALIMLIPA PESA MB DOG ILIAMUIMBE ILI JINA LAKE LIWEJUU THE SAME TO YOU, HUENDA UMELIPWA KUTULETEA HII MADA YAKO HAPA.

3. DALALI-USIMUAMINI DALALI HATA ONE DAY.

4. MCHEPUKO
#2[emoji23]
 
MB Dog anaimbaimba kaswida kisha anataka watoto wazuri. Hizo Bongo fleva zenu kama huna hela utaishia kuchukua kina Mwanajuma ndala ndefu tu.
[emoji23]
 
Kwa kimo na wajihi wa Doggy Man na Urefu wa Nancy ingekuwa moja kati ya couple za kuchekesha sana.

Mwanamke mlima Bwana kichuguu hii inamaana hata Doggy asingeweza labda ya kiseminari!

Najua umenielewa!
Blue na Wema?

Mbona diamond anawatafuna tu tangu akiwa mbaya mpaka sasa ana uafadhali
 
Back
Top Bottom