T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Hivi hii maana yake nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii maana yake nini
Haya Joseverest nimeprove kumbe wewe ni muhenga mwenzangu. Na marehemu Max unamjua ha ha haWALE WANAMAIGIZO WA ENZI HIZO ITV MIAKA YA 90 NISIWAJUE KWELI? MAMBO HAYO YA KINA WARIDI..
combination yake na Zembwela nilikuwa naikubali sana...moja kati ya comedians wangu wa muda wote..jamaa alikuwa anajua bwana.Haya Joseverest nimeprove kumbe wewe ni muhenga mwenzangu. Na marehemu Max unamjua ha ha ha
Pataya[emoji1787]Sikuwa najua. Kama ndiye mmiliki wa Landmark hotel basi jamaa ni mfanyabiashara makini sana. Niliwahi kuonyeshwa huyo Sauli mwaka juzi nikiwa maeneo ya Riverside pale. Dhaifu kinyama. Sijui alikuwa ana matatizo gani.
Niliambiwa anamiliki lodges nyingi sana hapa town na Morogoro. Hata pale Riverside upande wa pili ipo moja Ila jina nimelisahau.
Wema Sinza kumbe kitambo duh!
Kwa aina ya muziki na uimbaji wa kubana makoo wa Mb Dog hata angedate ma malaika asingekuwa kwenye game leoHuwezi jua pengine wangekuwa couple mb dog angekuwa bado yuko kwenye ramani ya muziki either kwa sababu mwenza wake yuko smart au angetumia nguvu ya ziada kubaki kwenye game ili asifulie akampoteza mrembo
Alikuwa bado mkewe?
Max ni wa juzi juzi zaidi ya Sumbi na Bocha...Haya Joseverest nimeprove kumbe wewe ni muhenga mwenzangu. Na marehemu Max unamjua ha ha ha
Hii nayo sijapata kujua maana
Nancy kipele[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hyo ndo sababu na mange huyu huyu anayeitwa kichaa ndo alofanya wapatane kidogo enzi za Uturn Nancy alikua hataki hata kidogo waelewane tena halafu yaonekana familia ilikua upande wa Nancy kwa kua ndo title so Nakaaya alikua anawekwa Pembeni...
Mange aliandika waraka kumshauri Nancy amsamehe Dada yake kwa kua Yeye Nancy ndo mwenye makosa hvyo asilete kibri cha kumtenga ndugu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
KavivuJokate mwenyewe anasema uwa anapenda watu Wazima,kwani akiwa anaenda kufanyw. Familia yake inamsindikiza? Alipigwa chini tu na Mzee mengi baada ya kutumika sana kwa kua hajatulia
[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana mnashauriwa tafuteni pesa sio mapenzi. Kwanza kila mtu utamu anao mwenyewe. Kama unabisha jaribu na sabuni uone.
Shukrani kakaSMH = Shaking My Head
SMDH = Shaking My Damn Head
huyo jamaa nini kilimuua ? na nitapata wapi movie zake ? youtube sizioniHaya Joseverest nimeprove kumbe wewe ni muhenga mwenzangu. Na marehemu Max unamjua ha ha ha
hahahahaKwa aina ya muziki na uimbaji wa kubana makoo wa Mb Dog hata angedate ma malaika asingekuwa kwenye game leo
Andika max na zembwela youtube unaweza kupata walahu chachehuyo jamaa nini kilimuua ? na nitapata wapi movie zake ? youtube sizioni
Wakina BishangaWALE WANAMAIGIZO WA ENZI HIZO ITV MIAKA YA 90 NISIWAJUE KWELI? MAMBO HAYO YA KINA WARIDI..
yeah mkuuWakina Bishanga