Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sikuwa najua. Kama ndiye mmiliki wa Landmark hotel basi jamaa ni mfanyabiashara makini sana. Niliwahi kuonyeshwa huyo Sauli mwaka juzi nikiwa maeneo ya Riverside pale. Dhaifu kinyama. Sijui alikuwa ana matatizo gani.

Niliambiwa anamiliki lodges nyingi sana hapa town na Morogoro. Hata pale Riverside upande wa pili ipo moja Ila jina nimelisahau.

Wema Sinza kumbe kitambo duh!
Pataya[emoji1787]
 
Huwezi jua pengine wangekuwa couple mb dog angekuwa bado yuko kwenye ramani ya muziki either kwa sababu mwenza wake yuko smart au angetumia nguvu ya ziada kubaki kwenye game ili asifulie akampoteza mrembo
Kwa aina ya muziki na uimbaji wa kubana makoo wa Mb Dog hata angedate ma malaika asingekuwa kwenye game leo
 
Hyo ndo sababu na mange huyu huyu anayeitwa kichaa ndo alofanya wapatane kidogo enzi za Uturn Nancy alikua hataki hata kidogo waelewane tena halafu yaonekana familia ilikua upande wa Nancy kwa kua ndo title so Nakaaya alikua anawekwa Pembeni...

Mange aliandika waraka kumshauri Nancy amsamehe Dada yake kwa kua Yeye Nancy ndo mwenye makosa hvyo asilete kibri cha kumtenga ndugu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nancy kipele[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jokate mwenyewe anasema uwa anapenda watu Wazima,kwani akiwa anaenda kufanyw. Familia yake inamsindikiza? Alipigwa chini tu na Mzee mengi baada ya kutumika sana kwa kua hajatulia
Kavivu
 
Ndio maana mnashauriwa tafuteni pesa sio mapenzi. Kwanza kila mtu utamu anao mwenyewe. Kama unabisha jaribu na sabuni uone.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilikuaga mshabiki mkubwa wa mb doggy kias watu waliinita hilo jina namimi nkawa nakubali kwa jins nlivyokuwa namkubali yaan nlikua naimba nyimbo zake zote tena kwa sauti niliyokuaga nayo bas mngenisikia msingeweza kunitofautisha naye kabisa bas nlikua nang'olea sana madem enzi zangu
 
Back
Top Bottom