[emoji16][emoji16][emoji16]Njoo tubebe zege hapa....Ukirudi Jionutalala kama Kuku shoga............................................
THANKS ME later
MwanamkeJinsia gan mkuu [emoji12]
MwanamkeJinsia gan mkuu [emoji12]
Asante mkuuUko na stress?kama unazo jaribu kupunguza.
Jitahidi kufanya mazoezi hasa nyakati za jioni hii husaidia sana.
Kama tatizo linazidi muone daktari anaweza kukuandikia sleeping pills utumie.
Pole mkuu....
Asante mkuuUnamatatizo gani yanayokusumbua kwa sasa kati ya haya?madeni,kukorofishana na mwanamke au mwanaume wako, matatizo na familia yako na mwisho je financial situation yako ikoje? Ukipata majibu ya haya tafuta mshauri akushauri juu ya matatizo.
Unafanya kazi gan?Mwanamke
Hewa ipo ya kutosha ni pazur ninapolala hapana shda kabxaKwanza unatuharibia lugha yetu adhimu kiswahili! ucku ndo nini..?
fanya vitu vya kuichosha akili,soma makala za kukutafakarisha sana au vitabu na story hata humu zimo nyingi,cheza magemu magumu jilazimishe kutafakari mpk uyaweze!,jifunze vitu usivyovijua.. fanya mazoezi,kunywa maji mengi.. hlf ukitaka kupata usingizi mapema kuna somo humu linaitwa meditation ile ya pumzi,ukiwa umefanya hayo mambo walau matano kwa siku tena kwa dhati hlf ukatulia kitandani ukafocus kuisikiliza pumzi yako ikiingia na kutoka(kumbuka ni kwaajili ya usingizi sio stage nyenginenyengine) wallah hukosi usingizi lbd utakuwa na tatizo lengine!.
binafsi nimeshajifahamu nikichosha mwili bila kuichosha akili usingizi utakaopatikana hapo ni wamasaa machache,lkn nikiichosha akili vilivyo ha ha ha! yanajua macho wala hakuna ndoto zozote!
mkuu angalia na unapolala huenda mazingira huyapendi,hewa lzm iwepo ya kutosha.
Bado sijjabahatka kupata kazi nimemalza chuo 2016Unafanya kazi gan?
Habar zenu? Naomben msaada wenu wapenz nina tatzo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 ucku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan yote nilivyofanya mchana nakuwa kama vile naota ila cyo ndoto ni marudio ya matukio yote niliyofanya mchana kikitoka hiki kinaingia hiki mpak kunakucha hata mchana nikilala vtu vnajirudia kichwan hata ninavyoandka hapa ucku kitajirudia kichwan, naomben ushaur nifanyaje au nitumie Dawa gan hii hali initoke
Punguza mawazo....fanya mazoezi....ila kama hali ikiendelea ni inbox nitakusaidia zaid[emoji12] [emoji12]Bdo cjabahatka kupata kaz nmemalza Chuo 2016
AsanteMkuu una kaz?,ukiamka saa kumi usiku ukipiga kazi hadi saa mbili usiku, kwenda kulala saa 4 usiku kuamka saa kumi usiku. Huwezi kuwa na hilo tatizo. Jaribu
AsanteMkuu una kaz?,ukiamka saa kumi usiku ukipiga kazi hadi saa mbili usiku, kwenda kulala saa 4 usiku kuamka saa kumi usiku. Huwezi kuwa na hilo tatizo. Jaribu
Asante mkuuPunguza mawazo....fanya mazoezi....ila kama hali ikiendelea ni inbox nitakusaidia zaid[emoji12] [emoji12]