Habari zenu? naombeni msaada wenu wapenzi nina tatizo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 usiku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwani yote nilivyofanya mchana nakuwa.
Kama vile naota ila siyo ndoto ni marudio ya matukio yote niliyofanya mchana kikitoka hiki kinaingia hiki mpaka kunakucha hata mchana nikilala vtu vinajirudia kichwani hata ninavyoandka hapa usiku kitajirudia kichwani, naombeni ushauri nifanyaje au nitumie dawa gani hii hali initoke