Sipati usingizi usiku najikuta nafikiria matukio ya mchana

Sipati usingizi usiku najikuta nafikiria matukio ya mchana

tembocard

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
247
Reaction score
121
Habari zenu? naombeni msaada wenu wapenzi nina tatizo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 usiku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwani yote nilivyofanya mchana nakuwa.

Kama vile naota ila siyo ndoto ni marudio ya matukio yote niliyofanya mchana kikitoka hiki kinaingia hiki mpaka kunakucha hata mchana nikilala vtu vinajirudia kichwani hata ninavyoandka hapa usiku kitajirudia kichwani, naombeni ushauri nifanyaje au nitumie dawa gani hii hali initoke
 
Uko na stress?kama unazo jaribu kupunguza jitahidi kufanya mazoezi hasa nyakati za jioni hii husaidia sana

Kama tatizo linazidi muone daktari anaweza kukuandikia sleeping pills utumie.
Pole mkuu.
 
Unamatatizo gani yanayokusumbua kwa sasa kati ya haya?madeni,kukorofishana na mwanamke au mwanaume wako, matatizo na familia yako na mwisho je financial situation yako ikoje? ukipata majibu ya haya tafuta mshauri akushauri juu ya matatizo.
 
Mazoezi ukifanya joint zinarelax so jioni ukilala hata ukiwaza na dakika mbili na utashangaa unaamka saa nne asubuhi bila kumbukumbu yeyote ya jana
 
Kwanza unatuharibia lugha yetu adhimu kiswahili! ucku ndo nini..?

fanya vitu vya kuichosha akili,soma makala za kukutafakarisha sana au vitabu na story hata humu zimo nyingi,cheza magemu magumu jilazimishe kutafakari mpk uyaweze!,jifunze vitu usivyovijua.. fanya mazoezi,kunywa maji mengi.. hlf ukitaka kupata usingizi mapema kuna somo humu linaitwa meditation ile ya pumzi,ukiwa umefanya hayo mambo walau matano kwa siku tena kwa dhati hlf ukatulia kitandani ukafocus kuisikiliza pumzi yako ikiingia na kutoka(kumbuka ni kwaajili ya usingizi sio stage nyenginenyengine) wallah hukosi usingizi lbd utakuwa na tatizo lengine!.
binafsi nimeshajifahamu nikichosha mwili bila kuichosha akili usingizi utakaopatikana hapo ni wamasaa machache,lkn nikiichosha akili vilivyo ha ha ha! yanajua macho wala hakuna ndoto zozote!
mkuu angalia na unapolala huenda mazingira huyapendi,hewa lzm iwepo ya kutosha.
 
Uko na stress?kama unazo jaribu kupunguza.
Jitahidi kufanya mazoezi hasa nyakati za jioni hii husaidia sana.
Kama tatizo linazidi muone daktari anaweza kukuandikia sleeping pills utumie.
Pole mkuu....
Asante mkuu
 
Unamatatizo gani yanayokusumbua kwa sasa kati ya haya?madeni,kukorofishana na mwanamke au mwanaume wako, matatizo na familia yako na mwisho je financial situation yako ikoje? Ukipata majibu ya haya tafuta mshauri akushauri juu ya matatizo.
Asante mkuu
 
Kwanza unatuharibia lugha yetu adhimu kiswahili! ucku ndo nini..?

fanya vitu vya kuichosha akili,soma makala za kukutafakarisha sana au vitabu na story hata humu zimo nyingi,cheza magemu magumu jilazimishe kutafakari mpk uyaweze!,jifunze vitu usivyovijua.. fanya mazoezi,kunywa maji mengi.. hlf ukitaka kupata usingizi mapema kuna somo humu linaitwa meditation ile ya pumzi,ukiwa umefanya hayo mambo walau matano kwa siku tena kwa dhati hlf ukatulia kitandani ukafocus kuisikiliza pumzi yako ikiingia na kutoka(kumbuka ni kwaajili ya usingizi sio stage nyenginenyengine) wallah hukosi usingizi lbd utakuwa na tatizo lengine!.
binafsi nimeshajifahamu nikichosha mwili bila kuichosha akili usingizi utakaopatikana hapo ni wamasaa machache,lkn nikiichosha akili vilivyo ha ha ha! yanajua macho wala hakuna ndoto zozote!
mkuu angalia na unapolala huenda mazingira huyapendi,hewa lzm iwepo ya kutosha.
Hewa ipo ya kutosha ni pazur ninapolala hapana shda kabxa
 
Habar zenu? Naomben msaada wenu wapenz nina tatzo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 ucku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan yote nilivyofanya mchana nakuwa kama vile naota ila cyo ndoto ni marudio ya matukio yote niliyofanya mchana kikitoka hiki kinaingia hiki mpak kunakucha hata mchana nikilala vtu vnajirudia kichwan hata ninavyoandka hapa ucku kitajirudia kichwan, naomben ushaur nifanyaje au nitumie Dawa gan hii hali initoke

Mkuu una kaz?,ukiamka saa kumi usiku ukipiga kazi hadi saa mbili usiku, kwenda kulala saa 4 usiku kuamka saa kumi usiku. Huwezi kuwa na hilo tatizo. Jaribu
 
Back
Top Bottom