Sipendezwi na jinsi inavyolazimishwa sasa CDF kuwa chini ya Waziri wa Ulinzi 'Kiprotokali' wakati Waziri wa Ulinzi ndiyo anapaswa kuwa chini ya CDF

Peke Yako ndio umejibu hoja
 
Kama alianza kuwapigia hapo ndio maajabu. Mbuge na Mabeyo wakikutana Mbuge ndio anatakiwa ampigie Mabeyo, jeshi linabaki palepale.

mkuu mambo ya protocal ni magumu,hata wao maofisa wahusika yanawavuruga somtime.

mbuge akivaa kiraia akasimama kama mkuu wa mkoa,atapigiwa salute na CDF,ila akivaa uniform kashajichanganya tayari ni askari mdogo kwa CDF,ndio maana mama kawazuia juzi.

wakati mstaafu mabeyo anakabidhiwa funguo na cdf mpya,alipiga salute(tayari wenge hili)yeye ni senior kwa CDF aliyepo,anatakiwa apigiwe yeye salute sio yeye kupiga.
 

[emoji28][emoji28]kabisa ni bangi.

yaani ukubali waziri ni mdogo kwa CDF halafu ukubali rais ni mkubwa kwa CDF,logic ina uwazi kwa ndani hii sio imara,
mtu anaridhika CDF kunyenyekea kwa PM ila sio kwa waziri wa maji,bangi mbaya.
 
Kwa Maelezo Yako Hata Rais Hafai Kuwa Amiri Jeshi Mkuu.

Tatizo Sio Hawathaminiwi Au Wanashushwa Thamani Yao.

Huo ni Mgawanyo Wa Utendaji tu.

Dunia ya Wenye Akili Imetambua Kuwa Jeshi Limepewa Mamlaka ya Kutumia Silaha Na Nguvu Zote Katika Kurudisha Amani Iliyotoweka Au Kulinda Amani Hiyo Isitoweke.

Lakini Pia Dunia Inatmbua Majeshi Yote Duniani Hata Yakienda Kulinda Amani

Yenyewe ni Rahisi Kufanya Vitendo Viovu Hususan Kwa Wahanga wa Vita Haswa Wanawake

Sababu Kubwa Eneo Hilo Jeshi Huwa Lina Mamlaka Na Halidhibitiwi Kwa Kuwa Amri Ni Yao.

Kwa Maana Hiyo (Nguvu Na Amri Havipaswi Kuwa Pamoja)


Na Amri Ya Kutumia Silaha Au Nguvu Inatakiwa Itoke Nje ya Jeshi Kwa Sababu

Mwenye Nguvu Na Silaha Hapaswi Kuwa Na Maamuzi.

Fanya Uchunguzi Kwa Mataifa Yanayomilikiwa. Na Jeshi Utagundua Kwanini

Aliyepewa Silaha Hapaswi Kuwa Na Maamuzi.
 
Binafsi najua mkuu wa majeshi anaweza mpa amri ijp na ikawa amri Hali maana yeye ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Pia Kila wizara Ina katibu inamaana ukitoa waziri mtu anaefuata ni katibu wa wizara alafu wanafuata watendaji wengine walio chini ya wizara hiyo.

Kwa maana hata naibu waziri kitafsiri ni waziri, kwahiyo ukitoa waziri kwenye wizara mtu wa pili kimadaraka ni katibu wa wizara alafu wanafuata hai wengine .
Nipo tayari kuelimishwa juu ya hili.
 
Ni changamoto kubwa mno.. watu kama hao dharau inawahusu maana katiba imeandikwa kwa kiswahili sio kiingereza hata!!
 
Umeelezea jambo hili la "Civilian Control of the Military".

Huku dunia ya nchi zilizoendelea ni jambo linaloeleweka na kukubalika sana.

Ila huko Africa watu wengi wanaopenda jeshi na amri amri za kijeshi hawataki kusikia habari hizi.

 
WORD...
 
ulijuaje kwamba Waziri wa Ulinzi amepewa madaraka makubwa ,je ni yapo hayo madaraka makubwa?
 
Salute ni salaam tu.Ndo maana Mabeyo alivyokuwa itv alipigia salute wakina farhia midle,joyce mhavile nk.

Mabeyo ni mtu wa kunyenyekeza!
 
Unyonge mkubwa ni kwa watu wanaojifanya eti ni wa dini Na wanaotaka kupewa utakatifu kuivamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu Na kumfunga Waziri Mkuu wake Na mawaziri wake kwa zaidi ya miaka 10 bila kuwafikisha mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…