Au kuna kitu wanahitaji kwake, badae lakini ( kumfix)Si kweli..
Wanampanga tu a adapt lifestyle yao..
Hawana jema hao. Na namshauri jamaa awaepuke fasta.
Thats it..Au kuna kitu wanahitaji kwake, badae lakini ( kumfix)
Inaonekana jamaa ndo njema hapo so wanampanga kwanza
Kila siku huwa nahairisha kukuroga kwakuwa umeninanga ntankuroga mwezi ukiwa wa mviringoHao majirani wana upako wa roho mtakatifu usiwatie najisi na roho yako mbaya, hama hapo ukakutane na EvilSpirit wenzako
Mimi naongea kijasusi zaidi Kwanza nakushauri Fanya kila unaloweza stop hii Aina ya ujirani and if possible Hama Hama haraka wewe umeshamalizwa na any time unaweza Kuwa ktk huzuni Kwa huruma za kijinga.Habari wadau,
Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli. Vitu vyenyewe ni kama vyakula, vifaa vya ndani, n.k
Aisee kuna nyumba za kota tumehamia mimi na wife hapa, kuna majirani wana roho nzuri lakini naona hii ni too much, wanapenda sana ku-share vitu, yaani kuna siku moja atamuita wife wakapike chakula cha pamoja, siku nyingine mwingine atapika chakula kisha atuletee wakati sisi tumeshapika, siku nyingine atawaambia mumpakulie kwa kuwa yeye hajisikii kupika siku hiyo, wakati mmepika cha size yenu pekee.
Kuna mmoja juzi katoka mkoani kaleta mazagazaga mengi kampa wife, sasa siku hiyo ndio natoka kunununa vyakula vya wiki nzima nakuta friji imeshajaa, sasa na wao unakuta siku wanakuambia gesi imeisha tunaomba tutumie jiko lenu.
Wife nishampiga marufuku kuomba ama kuchukua vitu kutoka kwa majirani lakini imekuwa mtihani kukataa na yeye akiwapa vitu kesho naye atakuja kuomba kwenu, hii inaharibu ratiba na bajeti kwani mimi ni mtu ninayependa kupangilia kila kitu changu kwa usahihi.
Naona ni kama tunalazimishana kuishi kijamaa wakati haya maisha sijayaozea kabisa, japokuwa nimekulia kijijini tulikuwa hatuombani vitu hovyohovyo, labda iwe imetokea shida ya kweli.
Sasa watu wengine niliowakuta hapa naona wanaiona ni lifestyle nzuri, najiuliza pengine mimi ndio nina roho mbaya ama hili linawakera pia baadhi yenu?
Nisamehe[emoji2772]Kila siku huwa nahairisha kukuroga kwakuwa umeninanga ntankuroga mwezi ukiwa wa mviringo
Habari wadau,

Haya maisha Ni hatari na sio rafiki kabisa heri kukutana huko mbali hii ya ushoga pikq nipakue lazima watagombana au kuibiana wanaumeUgomvi unaweza hata kuanzia kwa watoto...
Hyo sio sababu ya kuzoeana ka chupi na tako aisee tukutane kwenye jumuiya tuachane huko hyo ya kupikilishana na sijui Nini mwisho huwa mubaya, kwangu Mimi heri wasije tu siku nkipatwa na yangu, Ila sio hayo mazoeanikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia
Acha roho mbaya mkuuSiku hizi kuna kampuni za maziko. Pia hata watu wa kulia msibani wapo wakukodi. Tusitishane.
Kwako siji na wewe usije kwangu. Ova!
Unajitia jeuri eeehHyo sio sababu ya kuzoeana ka chupi na tako aisee tukutane kwenye jumuiya tuachane huko hyo ya kupikilishana na sijui Nini mwisho huwa mubaya, kwangu Mimi heri wasije tu siku nkipatwa na yangu, Ila sio hayo mazoea
Hahaaa sipendagi tu Mambo ya kiswahili MimiUnajitia jeuri eeeh
Ukipatwa na majanga inakuwajeHahaaa sipendagi tu Mambo ya kiswahili Mimi
Acha kujustify mambo ya hovyo.nikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia