Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

wageni waje kwa kukaribishwa na siku moja moja yaan mtu aishiwe gesi aje apikie kwangu mara sijui walete chakula huko ni kuchunguzana
Haya wagenj wanaume sipendi hasa hao mashemeji wanafiki tu
Tu assume mwanaume ambaye hajaoa na mwanamke ambaye hajaolewa, hawa wakiwa wanaishi wenyewe tu ni sahihi kwao kuishi maishi ya ku share share vitu na marafiki zao ?
 


Ulichoandika ndio mtazamo wangu.
 
Binafsi nipo kijiji fulani huwa sipendi tabia ya majirani kunisumbua kuazima baiskeli

Mbaya zaidi za kwao zipo tu ndani eti mbovu mwaka mzima hawatengenezi

Naishi nao tu kikauzu siazimishi mtu
 
Hii story na ya mleta mada ni vitu viwili tofauti......
 
Uswahilini kuko hivyo, ndivyo wanvyoishi masiha yao na unatakiwa uishi nao hivyo vinginevyo hapakufai, hama uende mahala pengine. Maandiko matakatifu yansema "iweni na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa"
 
Hiyo ni roho mbaya iliyopitiliza mipaka
 
Nimegundua una matatizo mengi sana.kitendo cha kufanya manunuzi ya chakula mwenyewe na wakati una mke ni janga hilo
 
Huyo Sasa ndio mwanaume anaye jali familia Ni Raha iliyoje kuwa na mwanaume ambaye anaweza kwenda sokoni akaja na vitu sio wengine hurudi nyumbani na gazeti tu hata mkate umewashinda loh!
Na vipi suala la kukuingilia kwenye idara yako ya jikoni, hilo nalo liko sawa?
 
Na vipi suala la kukuingilia kwenye idara yako ya jikoni, hilo nalo liko sawa?
Mimi naona sawa tu mwanaume siku akija anipe support huongeza upendo na urafiki, sisi kwetu wanaume wanajua kupika Tena chakula kitamu Sana ndio tulivolelewa so Mimi sioni shida ukiwa mwanaume siku moja ukapika kwa familia yako.
 
Mimi naona sawa tu mwanaume siku akija anipe support huongeza upendo na urafiki, sisi kwetu wanaume wanajua kupika Tena chakula kitamu Sana ndio tulivolelewa so Mimi sioni shida ukiwa mwanaume siku moja ukapika kwa familia yako.
Sijakataa suala la mwanaume kujua kupika mbona wengi tunafahamu kupika, ninachouliza hapa....je ni sahihi mwanaume wako kuingilia mambo ya jikoni, mfano anakasirika akiona umemuazima mtu sahani, anakasirika akiona mtu anakuja kuomba apikie kwenye jiko lako maana la kwake gesi imeisha, ananuna jirani yako akija kuomba umuongezee unga kidogo amepata wageni, anajua hadi idadi ya vijiko nk.
 
Mimi naona mwanaume Yuko sahihi kabisa Mimi binafsi staki mazoea hayo ya kuombana chumvi Mara ku share jiko sijui msosi huko Ni kutokujielewa tu na kuharibiana budget kwa kweli. Mimi mwenyewe nikiwa Sina hicho kitu siombi, maana omba omba huwa nikujizalilisha na ulizoea vya bure unalemaa, so Mimi siwezi subiri mwanaume anikataze naweza ku handle mapema tu hyo situation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…