Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

nimesoma mara tatu nikidhani kuna kitu nimeruka lakini kumbe ndicho nacho kisoma ikanilazimu nielewe .. me nahitajika kufanyiwa maombi hapa yenyewe namdai elfu tatu yangu nimemwambia jioni anipe ha hahahaha sipetezi hata sh kwake



ahhahahahaha yaan leo nimeshindwa vunga aisee hahahhaa we kiboko! uwiiii mie sina neno! namuomba mwaka 2020 aje pia hapa kutupa nmrejesho! hahaha we mie sikuwez! mie najifuna niwe km ww aise! na nitaweza
 
Ndoa ni yenu wawili lakini kila mmoja anatimiza malengo yake kivyake cha kushangaza zaidi wewe upo busy kumsuport mwenzio mbona yeye hakusupport?hakuna hata sehemu moja umesema yeye naye alitoa pesa akakupa ili ufanye kitu Fulani..ni wewe tu ndio mtoaji..kweli huu ndio upendo wa mshumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahhahahahaha yaan leo nimeshindwa vunga aisee hahahhaa we kiboko! uwiiii mie sina neno! namuomba mwaka 2020 aje pia hapa kutupa nmrejesho! hahaha we mie sikuwez! mie najifuna niwe km ww aise! na nitaweza
upate anayekuelewa ukipata kama wa huku wapenda vitonga utaachika .
 
Baada ya kuingia katika ndoa huna ndoto binafsi sasa. Kwa sasa unatakiwa kuwa na ndoto za pamoja kama wanandoa! Kama unaridhika na unayoyafanya na mme wako endelea kuhakikisha ndoa yenu inaendelea hivyo hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaaaaa haaaa. Shost upo?

Kuna kitu nimekiona kwa bidada yaani ile " she didn't expect...... "

Ngoja nikae kimya tusikilize wanaume vitonga wakiendelea kumsifia![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo shost........ngoja tuwasikilize wapenda vitonga shoga angu na tutawajua leo
 
Wewe ni mmoja kati ya wanawake 100 wa kitanzania,huu ndio upendo wa kweli,mkishaingia kwenye ndoa kitu chako ni cha mumeo na cha mumeo ni cha kwako,kuna wimbi kubwa sana la wanawake ambao pamoja na kuwa kwenye ndoa lazima ahakikishe kuwa hela yake anaitumia kujitafutia mali zake ambazo zitakuwa ni zake ili hata kama itatokea amekufa mali hizo ni bora zichukuliwe na ndugu zake kuliko kuchukuliwa na mumewe,ni hatari sana hasa kwa dunia ya sasa hivi ambapo wanawake wanaishi kwa kujihami kunakowaondolea upendo wa kweli kwenye mioyo yao.
 
ney had nakohoa kwa kucheka ujue wewe ni shigderrrrrr! we nawe una wivu tu !
Wivu wapi Mbiti mie kwenye maelezo yake sijaona faida zaidi ya hasara tuu eti nampea nampea bongo not applied labda Kenya, huku kwetu ukiwa na moyo huo ni unamtengenezea mumeo nafasi ya michepuko tuu maana hawezi kuumiza kichwa hata akipanguswa mifuko yote hatokuwa na wasiwasi maana akirudi nyumbani kuna wakumpea [emoji57]
 
msome lovebitelol amemshauri hizo dreams waachie wanaume ukishaolewa ni dream tosha kwa mwanamke! kamsome mamy!
No, sidhani kama mtu huwezi kuwa na personal dreams ukiingia kwenye ndoa. Tofauti ya kabla na baada ya kuingia ndoani ni kuwa kabla ya ndoa huna sababu ya kumshirikisha mtu, lakini ukishakuwa ndani ya ndoa ni LAZIMA umshirikishe mwenzako zile dreams zako.

Kama ni elimu, mwambie unahitaji kuchukua master's degree, CPA, etc ili mjue jinsi ya kupangilia ratiba za malezi ya watoto, mjue jinsi ya kuweka kipato kitoshe elimu na familia.

NOTE: Hapa naongelea familia zenye uhai, kuna ndugu zangu familia zimeshakufa kibudu, wao hili haliwahusu, kila mtu anajifanyia lake. Ni kama wapo "hostel" kila mtu ana maisha yake.
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Mkuu unampotosha. Sidhani kama unajua sheria za mirathi.
 
Ndio maana nikauliza pia, unampa support, je mnashirikishana katika mapato na faida? Hizo dreams zako kwa nini usimshirikishe ili awe supportive kama wewe unavyompa support?
CC Emoj
 
Nimependa hapo, "BIASHARA NAYOFANYA ONLINE" tushirikishe na sisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


hahahah sasa kuna mwanaume mwenzakokasema achana na dreams ukishaolewa ni dream toshaaaa!dream waachie wanaume kasema
 
usifanye hivo bila kushiriki kwenye hizo biashara sabb si zake ni zenu ..mchango wa fedha unatoa na mawzao pia uchangie,,halafu acha kutoa kila wakat fanya na wewe kile unachotamani kufanya,,mimi nazani nilikua dizain hizo ila siku hizi nafanya nachotaka kufanya lkn sio kwa siri..
 



hahhahahahahhaha uwiiiiii!jaman mie !kha! mie niliwah fanya upupu huu kushirikiana nae kwenye biashara hahahaha kila week anapita dukan anabeba mshiko wa maaan anaenda bar!hahaha lol! mwingne hanywi lakini anamalizia kwa chepuko lol! mie nilivyowajua hawa uwiiii nanenepa tu yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…