Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Pambafu sana , Nakuhakikishia utakachoshauliwa Humu kinaenbdela kubadilisha furaha ya Maisha yako kuanzia Muda huu.. Unaishi Vizuri na Mume wako una mpenda na mnashirikiana na unayafanya hayo bila kushinikishinikizwa wala ndugu wa mume au ndugu wa kwenu hawawasumbui leo hii Unakuja kwenye Kundi ambalo limejaa watu waliojichokea na Maisha ukitegemea utapata ushauri Mzuri..Habari wapendwa.Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? .
Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu ,kweli Maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na watoto wetu pia. Namshukuru Mungu pia amenipa mume ambaye sio mlevi wala mpenda starehe yaani inshort hela hachezei anafanyia vitu vya maana sana.kuna wakati tulifungua joint account ilivyofika kiwango tulikuwa tunataka tukakubaliana akazitoa na akafanyia kazi nzuri sana kwa uaminifu.Na pia mara nyingi nikiwa na hela ambazo najua sizitumii kwa muda huo nampa anafanyia biashara zake baadaye nikihitaji anazirudisha.
Kabla na baada pia ya kuolewa niko ndoto nyingi ya mimi kufikia level fulani na nilimshirikisha pia na akalifurahia.
Sasa tatizo linakuja kwamba kweli mpaka leo karibia miaka minne sasa hakuna kitu nimefanya katika kuachieve ndoto zangu,nimepiga kihatua kidogo sana,Hela naweka akiba inafikia kabisa kiasi nataka kutimiza malengo yangu but najikuta tu nimempea mume wangu bila yeye kuniambia nimsaidie.yaani niko hivi sipendi kuona mume wangu hana amani au akiwaza wapi apate hela au akiniambia hasara aliyopata katika business smtms nachukua card yangu ya bank naenda kutoa hela zote nampea kwa kumwambia hii hela siko na kazi nayo na naona niweke huko kwa business yako so zitumie tu kule usirudishe. (But lengo langu ni kutaka tu ajisikie vizuri pamoja na hasara aliyoiopata hela nyingine imekuja)Na ukimpa anapeleka pale kwa uaminifu kabisa.
Hela ya matumizi akinipa kweli namrudishia sijui kwanini but naona tu kwanini nichukue hela wakati mahitaji madogomadogo ya nyumbani naweza toa hela na vile bado hatujaanza kusomesha so mahitaji sio mengi si bora hiyo hela aendelee kuizungusha kwa biashara.basi naona tu hivyo na nakuwa na amani.weekend hii ilikuwa nikachukue frame ya kufanyia kabiashara kangu(hili hata sikumwambia kwamba nimeshapata frame) but juzi akaniambia habari ya kiwanja alichokiona mjini sehemu nzuri sana na kina title na alipokuwa anaongea anaonesha kabisa kwamba we real need that land.Hakuniambia toa hela wala nini but mimi "emoj mwenyewe nikamwambia niko na pesa nikaenda bank ninedraw
Hela zote hadi za mtaji wa biashara yangu ninayofanya online nimempea.nimebakiwa tu na 100k za kuniweka hadi mwisho wa mwezi nianze upya kusave .
Wapendwa jamani hii ni kwangu tu ama ni kwa wanandoa wote???.sifanyi chochote kuachieve my dreams but niko na Amani sana ndani ya moyo wangu kwa sababu my husband is so happy napenda tu kumwona anafuraha sitaki kabisa apate stress kisa hela au kisa mambo yake hayaendi vizuri.namuombea sana na pale naweza kutoa pesa natoa sana na pale pa kumencourage namuencourage sana na kwa mimi hakuna kitu mimi nimejifanyia and am happy.hii itakuwa ni nini??? [emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhakikishia kati ya wanawake 10 humu wengi watakuona hayawani na kuanzia utakapoa tekeleza ushauri wao basi jua ndio Mwanzo wa kuikosa Furaha ya ndoa yako.
Humu usilete Furaha ya Ndoa leta Matatzio ya ndoa ambayo unahitaji Msaada.
Hapa ndipo nimethibitisha kuwa Mwanamke Mjinga huivunja ndoa Yake kwa Mikono yake Mwenyewe.
Narudia na siyo Lazima uchukue au uyafanyie chochote matamshi yangu ila Trust Me., as From today unaenda Kuharibu Ndoa yako....
Akili Unazo!