Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Pambafu sana , Nakuhakikishia utakachoshauliwa Humu kinaenbdela kubadilisha furaha ya Maisha yako kuanzia Muda huu.. Unaishi Vizuri na Mume wako una mpenda na mnashirikiana na unayafanya hayo bila kushinikishinikizwa wala ndugu wa mume au ndugu wa kwenu hawawasumbui leo hii Unakuja kwenye Kundi ambalo limejaa watu waliojichokea na Maisha ukitegemea utapata ushauri Mzuri..

Nakuhakikishia kati ya wanawake 10 humu wengi watakuona hayawani na kuanzia utakapoa tekeleza ushauri wao basi jua ndio Mwanzo wa kuikosa Furaha ya ndoa yako.

Humu usilete Furaha ya Ndoa leta Matatzio ya ndoa ambayo unahitaji Msaada.

Hapa ndipo nimethibitisha kuwa Mwanamke Mjinga huivunja ndoa Yake kwa Mikono yake Mwenyewe.

Narudia na siyo Lazima uchukue au uyafanyie chochote matamshi yangu ila Trust Me., as From today unaenda Kuharibu Ndoa yako....

Akili Unazo!
 
hahahah sasa kuna mwanaume mwenzakokasema achana na dreams ukishaolewa ni dream toshaaaa!dream waachie wanaume kasema
Binafsi sidhani kama ni sahihi, everyone as a dream, uwe kwenye ndoa au uwe single. Muhimu ni kushirikishana kama wanafamilia.

Sio naamka asubuhi nasikia tu "Wiki iliyopita nilianza CPA", au "Nimeshanunua nyumba Mbweni". Wanaoishi hivyo wapo single while married, na ujuwe wengi tu wapo kwenye ndoa kimwili, lakini in reality wengi wapo single tu, wanaishi kama wapo hostel za chuo..teh teh!!
 
Ndio maana nikauliza pia, unampa support, je mnashirikishana katika mapato na faida? Hizo dreams zako kwa nini usimshirikishe ili awe supportive kama wewe unavyompa support?
CC Emoj


ahahhhha! wewe mfukunyuku sana ! my ribs
 
ahahhhha! wewe mfukunyuku sana ! my ribs
Sio mfukunyuku, we're learning Mbiti, unaweza kudhani ni kupoteza mda lakini haya mambo ni muhimu. Tunahitaji ndoa zenye afya, ndoa ikishakuwa na afya ni faida kwa jamii nzima.

Kama kuna sehemu tunadhani anakosea ni vyema kumuambia kwa sababu ameomba ushauri. All in all anaonekana kuifurahia ndoa. The best thing is her happiness.
 


hahahahha sure
 
Hapo ulipo hujakosea. Endelea kuwa ivyo ivyo ikiwezekana ongeza zaidi. Hakuna meanaume asopenda meanamke wa namna yako. Usije kuwa kama vishokomzobe wengine muda wite yeye kuanfalia fursa ilipo. Khaaa!!
 
Nafurahi kusikia hivyo mpendwa.Mungu aendelee kuwaweka pamoja daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauko peke yako ila mko wachache saaaana we ni kabila gani?

Nakuunga mkono saana,kwa matendo yako Siku moja Mungu atakunyooosheeni zaidi mkono wake. Omba saana na tambua shetani anachukizwa na khali hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…