Asante mpendwakubwa hilo fata nafsi yako. kama haina dukuduku kwenye ukifanyacho basi si jambo baya. afu kumbuka wewe na yeye ni mwili mmoja, wewe ni yeye na yeye ni wewe. so kinachokusukuma kufanya yote hayo ni upendo.
Basi kila unalofanya liko sawa....Mpendwa sio kwamba hanishiki mkono.kweli anatoa hela na ananipa ushauri but sipokei hela namshawishi sana hadi ananielewa pesa anarudisha kwenye mzunguko wa biashara zake.Na nakuwa na amani.yaani ni kwamba napenda sana yuko pale juu natamani sana.maisha yetu sio kiivyo so we still have a long way to go.akiongeaga tu kwamba mke wangu tumwombe Mungu tuwe smwhere mwaka fulani ndo nataka ifikie pale .nataka ile picha ya maisha anayotamani tuyaishi yatimie.Me ndio furaha yangu kuona tu anatimiza malengo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume lazima wakusifie
life is for living kama uko happy that's is life
Mpendwa niko hivyo haitasaidia chochote mimi kudanganya.Ni mtanzania halisia kabisa.
Hahahahahahhaaaa aiseee humu leo tutaona mengihahahaha kuna mmoja limemshikaa ameanza na tusi!eti' pumbafu sana 'hahaaha uwii
yaniii hawajui tu wanaume wa kiafrica siku anagundua kimada kajengewa gorofa na Ana watoto w2 ndo atajua hasara ilikuwa inapatikanajeganda la ndizi
Wapo mkuu, mimi na mke wangu tuko hivyo hadi nahisi isijekuwa mke wangu amejiunga humu JF na huyo ni yeye.
yaniii hawajui tu wanaume wa kiafrica siku anagundua kimada kajengewa gorofa na Ana watoto w2 ndo atajua hasara ilikuwa inapatikanaje
Lol sio kwa upendo huo khaaaaaaaKumbuka mwanzo alisema wameowana na sio kaolewa na ndio maana anafanya hivyo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mpendwa nadhani hujanielewa hajawahi niambia nimpe hela .ni mimi mwenyewe tu kwa kumsoma natoa hela mwenyewe bila kuambiwa nipe. Kuhusu mapato ya biashara yake he is very open.hanifichi chochote na faida naiona akifanyia kazi nzuri sana na before hajafanya kitu analeta mezani tunajadiliana na akitoa point uwiii naona maisha si ndo hayo sasa.point zimeenda shule basi nakubali na anafanya vilevile amesema. Na risiti kila kitu viko open.uzuri sisi hakuna kitu tunafichana kila kitu kipo wazi kabisa.leo nimeamka na kucheka tu! sijui why nimecheka! ila umesema mwenyew mumeo anaifanyia biashara kwa uaminifu bas we endelea kumpa tu mamy !... ila kwa mie mhenga.... kuna shida sehem...why kila mara alie lie shida kwako!hajawah kukuambia mke wangu mwezi huu tumeingiza faida kias hiki! au ni mm tu sijakuelewa!
anywys umepata mume mtaftaj pambana muongeze kipato huna haja ya kujitenga nae! pls waweza kuja share nasi hapa mwaka 2020 biashara za mumeo km hutojali! am very positive to you my dear emoji!! ili na sisi tulioshindwa kushare biashara na waume zetu tujue tunakosea wapi!
kuhusu wewe kutoarchive ur dreams wala usihofu unaachieve kupitia mgongo wa mumeo kitu ambacho ni afya sana kwa ndoa zetu !hilolisikutie hofu mamy
............nimecheka sana sana .....
demi
Neybright
Heaven Sent
espy
Nalendwa
mkuje mfundwe huku
Sifa atapata nyingi sana. Mwanaume nae keshamjulia akilialia tu anapewa.wanaume lazima wakusifie
life is for living kama uko happy that's is life
Hahaaa mpendwa nadhani hujanielewa hajawahi niambia nimpe hela .ni mimi mwenyewe tu kwa kumsoma natoa hela mwenyewe bila kuambiwa nipe. Kuhusu mapato ya biashara yake he is very open.hanifichi chochote na faida naiona akifanyia kazi nzuri sana na before hajafanya kitu analeta mezani tunajadiliana na akitoa point uwiii naona maisha si ndo hayo sasa.point zimeenda shule basi nakubali na anafanya vilevile amesema. Na risiti kila kitu viko open.uzuri sisi hakuna kitu tunafichana kila kitu kipo wazi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maana anatoa kwa moyo bila kulalamika. Hapa tutaishia kumshangaa na kumbadilisha mawazo abadilike kwa mumewe kitu ambacho sio kizuri. Kama anafanya kwa upendo na furaha aendelee hivyo hivyo.nadhan basi hakukuwa na haja kuja hapa kujiuliza mamy!... kila la heri