leo nimeamka na kucheka tu! sijui why nimecheka! ila umesema mwenyew mumeo anaifanyia biashara kwa uaminifu bas we endelea kumpa tu mamy !... ila kwa mie mhenga.... kuna shida sehem...why kila mara alie lie shida kwako!hajawah kukuambia mke wangu mwezi huu tumeingiza faida kias hiki! au ni mm tu sijakuelewa!
anywys umepata mume mtaftaj pambana muongeze kipato huna haja ya kujitenga nae! pls waweza kuja share nasi hapa mwaka 2020 biashara za mumeo km hutojali! am very positive to you my dear
emoji!! ili na sisi tulioshindwa kushare biashara na waume zetu tujue tunakosea wapi!
kuhusu wewe kutoarchive ur dreams wala usihofu unaachieve kupitia mgongo wa mumeo kitu ambacho ni afya sana kwa ndoa zetu !hilolisikutie hofu mamy
............nimecheka sana sana .....
demi
Neybright
Heaven Sent
espy
Nalendwa
mkuje mfundwe huku