Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

KAMA ICHO UNACHOWEKEZA KWA MUMEO KAMA KINA IMPACT KWA FAMILIA AS WHOLE FINE ILA KAMA KWA MUMEO TU IYO IMEKULA KWAKO
 
Mpendwa sio kwamba hanishiki mkono.kweli anatoa hela na ananipa ushauri but sipokei hela namshawishi sana hadi ananielewa pesa anarudisha kwenye mzunguko wa biashara zake.Na nakuwa na amani.yaani ni kwamba napenda sana yuko pale juu natamani sana.maisha yetu sio kiivyo so we still have a long way to go.akiongeaga tu kwamba mke wangu tumwombe Mungu tuwe smwhere mwaka fulani ndo nataka ifikie pale .nataka ile picha ya maisha anayotamani tuyaishi yatimie.Me ndio furaha yangu kuona tu anatimiza malengo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kila unalofanya liko sawa....
Kila la kheri Mbarikiwe zaidi na zaidi
 
leo nimeamka na kucheka tu! sijui why nimecheka! ila umesema mwenyew mumeo anaifanyia biashara kwa uaminifu bas we endelea kumpa tu mamy !... ila kwa mie mhenga.... kuna shida sehem...why kila mara alie lie shida kwako!hajawah kukuambia mke wangu mwezi huu tumeingiza faida kias hiki! au ni mm tu sijakuelewa!

anywys umepata mume mtaftaj pambana muongeze kipato huna haja ya kujitenga nae! pls waweza kuja share nasi hapa mwaka 2020 biashara za mumeo km hutojali! am very positive to you my dear emoji!! ili na sisi tulioshindwa kushare biashara na waume zetu tujue tunakosea wapi!

kuhusu wewe kutoarchive ur dreams wala usihofu unaachieve kupitia mgongo wa mumeo kitu ambacho ni afya sana kwa ndoa zetu !hilolisikutie hofu mamy

............nimecheka sana sana .....
demi
Neybright
Heaven Sent
espy
Nalendwa

mkuje mfundwe huku
Hahaaa mpendwa nadhani hujanielewa hajawahi niambia nimpe hela .ni mimi mwenyewe tu kwa kumsoma natoa hela mwenyewe bila kuambiwa nipe. Kuhusu mapato ya biashara yake he is very open.hanifichi chochote na faida naiona akifanyia kazi nzuri sana na before hajafanya kitu analeta mezani tunajadiliana na akitoa point uwiii naona maisha si ndo hayo sasa.point zimeenda shule basi nakubali na anafanya vilevile amesema. Na risiti kila kitu viko open.uzuri sisi hakuna kitu tunafichana kila kitu kipo wazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume lazima wakusifie
life is for living kama uko happy that's is life
Sifa atapata nyingi sana. Mwanaume nae keshamjulia akilialia tu anapewa.
Sio kitu kibaya kama tu hizo business ni za familia kwa ujumla.
Mwingine ukimpa hela anaenda kutunza nyumba ndogo. Na pia inakuaje mtu una uwezo hivyo ushindwe kutimiza ndoto zako hata moja. Hakuna kitu kizuri kama kutimiza ndoto na kuwa na hela yako binafsi. Kusaidiana ni sahihi lakini isifanye ushindwe kutekeleza kile ambacho umekusudia.
Na hizo mali za mume zipo kwa majina gani?
Mfano mume anunue kiwanja kwa jina lake wkt mimi nimechangia hapana kwa kweli..kama kina jina letu wote nampa hela hakuna tatizo.
 
Hahaaa mpendwa nadhani hujanielewa hajawahi niambia nimpe hela .ni mimi mwenyewe tu kwa kumsoma natoa hela mwenyewe bila kuambiwa nipe. Kuhusu mapato ya biashara yake he is very open.hanifichi chochote na faida naiona akifanyia kazi nzuri sana na before hajafanya kitu analeta mezani tunajadiliana na akitoa point uwiii naona maisha si ndo hayo sasa.point zimeenda shule basi nakubali na anafanya vilevile amesema. Na risiti kila kitu viko open.uzuri sisi hakuna kitu tunafichana kila kitu kipo wazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

nadhan basi hakukuwa na haja kuja hapa kujiuliza mamy!... kila la heri
 
Unafanya vyema ila kuna shetani wa ubinafsi anakunyemelea....kwanza tubu kwa kufanya mpango wa frame bila kumshirikisha....ndoa ni mwili mmoja...achana na mawazo ya vijiwen kufanya mambo bila kumshirikisha mume....utapotea na watakucheka baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhan basi hakukuwa na haja kuja hapa kujiuliza mamy!... kila la heri
Ni kweli maana anatoa kwa moyo bila kulalamika. Hapa tutaishia kumshangaa na kumbadilisha mawazo abadilike kwa mumewe kitu ambacho sio kizuri. Kama anafanya kwa upendo na furaha aendelee hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom