KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Yaani Hii imeshawah kunitokea tena sio Mara moja. Sasa ivi mtu data aje na machozi ya damu sikopeshi ng'o
Yaani Hii imeshawah kunitokea tena sio Mara moja. Sasa ivi mtu data aje na machozi ya damu sikopeshi ng'o
Sipendi nikiwa kwenye daladala konda kuniuliza "una mia nikupe mia mbili?" sipendiiiii
sipendi mdada namtongoza afu anakataa....
watu bwana...... kana kwamba wewe hukopi unakopwa tu!!!
wapangaji wenzangu kunivizia kila niendapo chooni kwakuwa wanajua kuwa huwa ninajamba sana huku ushuzi nao ukiwa fantastic!
Sipendi wapenzi wenye tabia ya kununanuna ovyo Kitu kidog tu kununiwa mwaka mzima ptuu