KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Yaani Hii imeshawah kunitokea tena sio Mara moja. Sasa ivi mtu data aje na machozi ya damu sikopeshi ng'o
Mkuu samahani unaweza ukanikopesha elfu kumi nitakurudishia baada ya wiki mbili....okoa jahazi mkuu wewe ndiye tegemeo langu.....Onyesha kujali mkuu....