Sipendi - Special thread

Sipendi - Special thread

Sipendi watu wanaojiphotoa na kuipa mgongo kamera kuonyesha mzigo

teebag Sipendi watu wanaojitia hawapendi picha za mizigo na bado wanaziangalia kutoa mijicho
 
Last edited by a moderator:
Sipendi tabia ya mwanamke natoka kulala nae nampa hela pale pale anakataa, lakini tukipeana kisogo nakuta sms nirushie basi hiyo hela kwenye simu yangu, alafu kesho tunaweza kuonana tena.

Mimi Nahic Ukiwa Na Mpenzi Wako Wa Kudumu Ukimaliza Mchezo Halaf Ukampa Hell Atajihic Kama Kakuuzia ( Maneno Yangu Sio Sheria)
 
Sipendi mvivu wa fikra
mtu asiye na dira
sopendi mtu wa rap bila kumake ngawira

sipendi washkaji wafanye ngono bila mpira
sipendi kuwapoteza kabla haijafika dhamira!!
 
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku..

Kupitia uzi huu naomba tufikishe ujumbe kwa woote wenye hizo tabia wajirekebishe.. Au tujirekebishe pia kama tupo humu..

Naanza na hizi..

Sipendi baba kumbeba mtoto wake huku anavuta sigara..!

Sipendi kila ukifika usiku mtu anakutext "umelala"?

Mwisho tunasema "Acha hiyo ni tabia mbaya"

Sipendi ''Sipendi Special Thread'' ambayo haikidhi vigezo vya kuwa special kama hii!
 
Sipendi mtu kukosoa gari la mwenzake wakati hana hata baiskeli.

Sipendi mtu kumringia mwenzake kwa kuwa anamiliki gari wakati magari ndo yanaongoza kwa kunyofoa roho za watu...wajanja wanajivunia utu wema dude of which hata baada ya maisha ya hapa kwa Kikwete bado Mbinguni tutakaa meza kuu na wateule....
 
Sipendi mtu kutumia lugha ngumu kumaanisha kitu rahisi.
 
Spendi mtu smart na mwelewa kama wewe kujifanya haelewi vitu vyepesi kama hivi ha ha haaaaa.....
Alafu ndugu Window7 tafadhali location yako kwenye profile si ya muungano!
 
Location yangu ni Tanganyika mkuu...!!
 
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku..

Kupitia uzi huu naomba tufikishe ujumbe kwa woote wenye hizo tabia wajirekebishe.. Au tujirekebishe pia kama tupo humu..

Naanza na hizi..

Sipendi baba kumbeba mtoto wake huku anavuta sigara..!

Sipendi kila ukifika usiku mtu anakutext "umelala"?

Mwisho tunasema "Acha hiyo ni tabia mbaya"
Sipendi aliyeanzisha Uzi huu!
 
mi sipendi tabia ya watu kuishabikia ccm na pia sipendi kuulizwa swali moja mara mbili ni usumbufu.
 
Back
Top Bottom