Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sasa hizo nchi za Afrika kwa kutokula ugali wamekua na akili gani? Ni jambo gani wamefanya kuonyesha kwamba hua hawali ugali?

Wewe tu ulichokiandika tu unaonekana huna akili pamoja na kwamba huli ugali.
Akili zimetokea wapi tena mkuu hii ya kujiona una akili zaidi ya wengine ni madhara ya kula ugali sana...mimi siwezi kukutukana uone tofauti
 
Nadhani uwele ndo nafaka ya asili ya Africa, na ulitimika kwa ugali na uji. Hizi nafaka nyingine nyingi zimeletwa ma wazungu. Problem ya uewele production yake ni ngumu sana. Unaliwa sana na ndege...hivyo ndo maana njaa zilikuwa haziishi.
Nafaka za asili za kiafrika zipo nyingi mkuu zaidi ya uwele,,fuatilia
 
Kwaio ugali unadumaza akili [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Najua una exposure kubwa unaweza uka share mataifa mengi ya ulaya na Asia hata Amerika Huwa hawapendi kutumia hii nafaka katika Milo Yao....
Ugali sehemu nyingi una sumu, basi tu.

Mm nimewai kuwa ambia watu ugali sio mzur... Wenyewe wanakaza mafuvu..,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ŠπŸ˜Šβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈ
 
Ugali ndio kiboko ya muafrika.Jamii nyingi Sana hapa Afrika favourite meal yao Ni ugali
 
Nikipata hela kitu chakwanza kuacha niugali nalia shida tu
 
Binadamu hutakiwi shiba, watakiwa utosheke. Mnashiba sana ndo maana hamna akili hadi Bandari mnauza
 
Nadhani uwele ndo nafaka ya asili ya Africa, na ulitimika kwa ugali na uji. Hizi nafaka nyingine nyingi zimeletwa ma wazungu. Problem ya uewele production yake ni ngumu sana. Unaliwa sana na ndege...hivyo ndo maana njaa zilikuwa haziishi.
Hata Mahindi wazungu ndiyo wameleta kipindi cha njaa
 
Ni preferences, mimi naweza kula mwaka, tena na hizo hizo dagaa, nasio umaskini
 
Uhifadhi wa chakula Tanzania ni mbovu sana. Asilimia kubwa hutumia madawa katika kupanda na kuhifadhi ila hawayaondoi hayo madawa.

Kwenye mashine zetu za kusaga asilimia 99.9 ni mbovu sana ma hawajali usafi
 
Kabisa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…