Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Mimi nakuunga mkono, ugali ni chakula ambacho sikipendi kabisa, Nina miaka kadhaa sijala ugali, tena jumlisha na dagaa ndo basi kabisa. Nikija kukutembelea kwako nikakuta umepika ugali na dagaa azima niombe udhuru niondoke.
 
Chakula kikuu cha waafrika kusini mwa jangwa la sahara ni ugali. Sasa kama kuna muafrika hali ugali huyo atakuwa ameishi ughaibuni. Wali, ndizi na viazi/mihogo ni chakula cha ziada tu. Kusema ugali unadumaza akili serikali ingeupiga marufuku kuula. Kama serikali haioni ugali kama una madhara tutaula sana
 
Kama wewe ni mtu wa kula wali na chips hata show yako kitandani itakuwa ya hivyo hivyo. Watu tunapiga ugali Dona kwa nyama, na maziwa mgando. Nikimshika mama mpaka aseme nimechoka utaniua. Kila saa narudi juu
 
Huo kula tu mwenyewe, ugali unadumaza akili, ukishiba ugali hakuna kiungo cha mwili kinaweza kuwa active, unakuwa kama chatu akimeza swala[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona mimi nikishiba ugali wangu na Samaki mkubwaa na mboga za majani nikapiga na maji ya bardii kama lita sikunzima nadindisha sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…