Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Mimi nakuunga mkono, ugali ni chakula ambacho sikipendi kabisa, Nina miaka kadhaa sijala ugali, tena jumlisha na dagaa ndo basi kabisa. Nikija kukutembelea kwako nikakuta umepika ugali na dagaa azima niombe udhuru niondoke.
 
Chakula kikuu cha waafrika kusini mwa jangwa la sahara ni ugali. Sasa kama kuna muafrika hali ugali huyo atakuwa ameishi ughaibuni. Wali, ndizi na viazi/mihogo ni chakula cha ziada tu. Kusema ugali unadumaza akili serikali ingeupiga marufuku kuula. Kama serikali haioni ugali kama una madhara tutaula sana
 
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa

Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa

Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala

Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.

Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa

Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.

Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali....
Kama wewe ni mtu wa kula wali na chips hata show yako kitandani itakuwa ya hivyo hivyo. Watu tunapiga ugali Dona kwa nyama, na maziwa mgando. Nikimshika mama mpaka aseme nimechoka utaniua. Kila saa narudi juu
 
Huo kula tu mwenyewe, ugali unadumaza akili, ukishiba ugali hakuna kiungo cha mwili kinaweza kuwa active, unakuwa kama chatu akimeza swala[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona mimi nikishiba ugali wangu na Samaki mkubwaa na mboga za majani nikapiga na maji ya bardii kama lita sikunzima nadindisha sanaaa
 
Back
Top Bottom