Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana siku hizi wimbi la wanaume kuwa na matumbo makubwa linakua kwa kasi sana.Ugali fulani hv laini, nyama choma nusu kilo, pilipili nyingi sana mixer ndimu, maji ya kunywa lita moja ya baridi. Baada ya hapo nikianza kufungua vizibo sasa naweza nikakata kreti la Kilimanjaro lager aisee.
Kabisa. Mboga zipi hizo za ajabu ajabu?[emoji23]Ugali ni mboga bhn....
Acha siasa zako, sema wewe unakula ugali na mamboga ya ajabu ajabu..
OVER
Mbona mimi sina tumboNdiyo maana siku hizi wimbi la wanaume kuwa na matumbo makubwa linakua kwa kasi sana.
Kama wewe ni mtu wa kula wali na chips hata show yako kitandani itakuwa ya hivyo hivyo. Watu tunapiga ugali Dona kwa nyama, na maziwa mgando. Nikimshika mama mpaka aseme nimechoka utaniua. Kila saa narudi juuKatika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali....
Mbona mimi nikishiba ugali wangu na Samaki mkubwaa na mboga za majani nikapiga na maji ya bardii kama lita sikunzima nadindisha sanaaaHuo kula tu mwenyewe, ugali unadumaza akili, ukishiba ugali hakuna kiungo cha mwili kinaweza kuwa active, unakuwa kama chatu akimeza swala[emoji28][emoji28][emoji28]