Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Nirudi nyumbani mchana nikute hakuna ugali aisee nitatoa warning kali sana ukirudia kosa ni kwenu Ngosha wa mbasa kama mie unilishe spaghetti cjui Wali mchana hayo ni madharau[emoji23] labda iwe special day kama sikukuu n.k ila kwangu mimi ugali ni constant kama pie(3.14)
 
Wewe Mrs Van mbona huwa nawapa kuku Michele na ngano[emoji1787] kwa hiyo tunaokula ugali hatuli hizo ngano? ila navyo ni vyakuka vya mifugo tu
Sasa maandazi, chapati, sambusa, cake etc utafananisha na ugali au kande kweli [emoji23][emoji23][emoji23] au pilau, wali nazi, biriani
 
hahan ndio huyu jamaa anatudhalilisha tunaopenda ugaliπŸ˜€ anaita chakula cha kuku Hata mimi nafuga kuku nawapa ngano na Michele anaopenda kula yeyeπŸ˜€
Huyo hajielewi kabisa...makange ya kuku wakienyeji + ugali = to real πŸ₯˜ unakula hadi unatamani kisiishe kwenye sahaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa maandazi, chapati, sambusa, cake etc utafananisha na ugali au kande kweli [emoji23][emoji23][emoji23] au pilau, wali nazi, biriani
Hivyo vyakula unavyotaja maandazi sijui chapatu ukoachana na cake na visambusa, hivi unakunya kwa raha kweli? maana constipation ipo
 
 
....ongea taratibu na tema mate chini. Hata sisi wa hali ya chini hatuupendi ugali ....ila ndio hatuna uwezo wa kula tunavyovitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…