Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
KATAA UGALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATAA UGALI
Ugali wa mahindi mswahili yeyote ukisema ugali anajua wa mahindi...ngano na mtama Nchi nyingi wanalima na kutumia hizo nafaka hata kichwani wapo sawa tofauti na wala ugali harafu wanauamini balaa huwezi kuwaambia kitu kwa sababu washadumazwa...Unazungumzia ugali wa nafaka gani ndio uliletwa na mabeberu na ni mwaka gani???
Nchi za Afrika Magharibi wana chakula chao mara nyingi hawatumii ugali utaona hata baadhi ya mambo Senegal,Nigeria na wengine huko akili hazijaganda kama wabongo kutwa na ugali wao harafu wanauamini balaa hamna kitu kabisa zaidi ya kudumaza Ubongo wa watu...kutwa kuulizana vitu vya hovyo hovyo kisa ma Ugali...Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa dona
Mtaalam ambao watu weusi wengi wanaomuamini kama mzalendo Dr sebi alishawahi kusema ugali wa dona ni sumu na unadumaza akili
Watu wanao kula ugali miili Yao inakua na nguvu mkuuSasa wewe ndio mbantu alisia.
We unakuwa unadinda tu siku nzima?😅😅😅Mbona mimi nikishiba ugali wangu na Samaki mkubwaa na mboga za majani nikapiga na maji ya bardii kama lita sikunzima nadindisha sanaaa
Ghanaians wana fufu na banku, japo ni mchanganyiko wa nafaka tofauti tofauti, binafsi sikuwahi kuupenda wakati nikiwa naishi close na hawa jamaa.Nchi za Afrika Magharibi wana chakula chao mara nyingi hawatumii ugali utaona hata baadhi ya mambo Senegal,Nigeria na wengine huko akili hazijaganda kama wabongo kutwa na ugali wao harafu wanauamini balaa hamna kitu kabisa zaidi ya kudumaza Ubongo wa watu...kutwa kuulizana vitu vya hovyo hovyo kisa ma Ugali...
Hapo kwenye macaroni na spaghetti haujapata suluhishoUgali hapana ni siupendi toka nipo kwetu, siwezi poteza hela yangu kula ugali.Hata watoto wangu hulalamika kula ugali hivyo substitution yake ni macaroni na spaghetti
KATAA NDOA OUT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KATAA NDOA OUT
KATAA UGALI IN
NAKAZIAKATAA NDOA
Kuku gani hao wasiopenda ugali?Nimechunguza nikabaini hata kuku,mbwa na paka au sisimizi nao hawaupendi kabisa
Kuna mchina aliujaribu akasema ni chakula kikavu sana,nusura atapike kwa kujilazimisha kuumeza
Hiyo n KATAA UGALINAKAZIA
SIKAZIIHiyo n KATAA UGALI