Sipendi Ujinga Special thread!

*Jaman Wadada acheni KUOGA MAJI YA MVUA leo kuna kadada kamenihug kananuka MABATI*
nikakatosa kwan napendaga ujinga mimi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*TAHADHARI*
USIJE KUTAPELIWA!
Kuna baadhi ya watu wanajihusisha na biashara ya sumu ya panya feki....tafadhali onja kwanza kabla ya kununua usikubali kutapeliwa

[emoji23]*we si hupendagi ujinga*[emoji23]
 
*MADEMU WA BONGO NI NAMBA MOJA KWA MAIGIZO... HUWA WANAVUMILIA MAUMIVU YA KUTOBOA PUA, KITOVU NA SIKIO... LAKINI ILE KITU WANAPIGA KELELE KAMA GARI LA TAKATAKA WAKATI HAINA HATA NCHA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

*Hapo ndo utakapojua wembe, kisu na panga vina KATA lakini havina MADIWANI*
 
Dem: bebi nitumie tena ile pesa kwenye namba hii ile ulionitumia sim nimeisahau nyumbani...

Mimi: (nikamtumia txt kwenye ile namba alio isahau nyumbani) Nikutumie sh. Ngapi?

Dem: 20,000 tu bebi

Nikazima simu mimi *''''Sipendagi ujinga kabisa''''*
 
Eti nimemtongoza dem kaniambie ili twende nae nimpe elfu2o. Nikajikakamua kwa hali hii ya magu nikampa hiyo twenty. Nimepiga cha kwanza fasta nikamaliza. Nikaanza cha 2 ile naanza kukakamaa demu ananiambia nimsubilie. Eti hata wakati namaliza 1st round yeye hakumaliza. Mamake mm nimelipia au yeye kalipia. Nilimaliza fasta na kushuka.

Sipendagi upumbavu
 
sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.

sipendagi ujinga kabisa mimi
Bhuahahahahahaha dah kumbe ndo wew uliyeniibia buku 10 langu
 
Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-πŸ™‚-πŸ™‚-πŸ™‚-(
hihihihihihihihihi!!!!!!!!
 
Watu wengi cyo waelewa imeshasemekana huu msemo usitumike tena ila watu bado hawaelewi, tutaumiza mtu maana hatupendagi ujinga kabisa wala hatuna shida na watu sisi
 
hii haijakaa poa mtoa post ameandika kijinga jinga
mod jaribun kuitoa mana huwa ***sipendi ujinga ujinga...
 
sasa hivi kwenye daladala nimemgusa mtu mtu alokaa mbele ili apunguze sauti ya muziki wa simu yake; kwa kiherehere chake akanipa elfu kumi bila kunitizama akidhani mimi ni konda.
imebidi nishuke palepale kwa raha zangu.

sipendagi ujinga kabisa mimi
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-πŸ™‚-πŸ™‚-πŸ™‚-(
Hahahahaha atupendagi ujinga kabisa...
 
Watu mnakosa vitu vya kupost...sipendagi ujinga mimi.
 
Hata kama mke wangu nampenda kwa hili atarudi kwao, sipendagi ujinga mimi..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakukutolea mapovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…